Kim jong un alitaka jeshi kua tayari kwa silaha za nyuklia

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,233
16,202
ff691c8b796e93e7c52df1fe44fb9e1d.jpg

Kiongozi wa Korea ya Kaskazini amelitaka jeshi la nchi hiyo kujiandaa kwa silaha zake za nyuklia kwa ajili ya kupambana na maadui.

Kiongozi huyo alisema wakati huu ambapo marekani inahamasisha vita kwa nchi nyingine wanapaswa kuziandaa silaha zao za nyuklia ili kuitetea north korea na uhuru wake.

Kiongozi huyo aliyasema hayo wakati akiwa katika shuhuli za kijeshi

Mpaka sasa haijulikani north korea imepiga hatua gani katika mpango wake wa silaha za nyuklia huku marekani wakiitaka korea ya kazkazini kuacha kuchochea uhasama wa kuchochea silaha za nyuklia.

Na mimi swali langu linakuja hawa north korea tayari wanauwezo wa nyuklia au ni mikwara tu.

Na je ni kweli hii nchi inawaza zaidi mpango wake wa nyuklia kuliko kuendeleza wananchi wake kama UN inavyodai
Na je vipi maisha ya watu wa north korea
Je hii nchi inaendeka kweli.
================

For a second day, North Korea appeared to be flexing its military muscles in the wake of a United Nations vote meant to cripple the nation's nuclear program.

North Korean leader Kim Jong Un said the country's "nuclear warheads need to be ready for use at any time," the North Korean state news agency KCNA reported Friday.

"Under the extreme situation that the U.S. Imperialist is misusing its military influence and is pressuring other countries and people to start war and catastrophe, the only way for our people to protect sovereignty and rights to live is to strengthen the quality and quantity of nuclear power and realize the balance of power," Kim said, according to KCNA.

The news agency also confirmed the test-fire of a new multiple launch rocket system. It's unclear whether that event is the same launch by North Korea of "short-range projectiles," announced one day earlier by the South Korean Joint Chiefs of Staff.

"We are aware of the reports. We are closely monitoring the situation on the Korean Peninsula in coordination with our regional allies," the Pentagon said in response to Friday's news. "We urge North Korea to refrain from provocative actions that aggravate tensions and instead focus on fulfilling its international obligations and commitments."

'A lot of bluster'

North Korea is believed to have an untested capability when it comes to nuclear weapons. As one U.S. official told CNN's Barbara Starr, the regime has tested nuclear devices that it says have been miniaturized.

The attitude of U.S. officials is that they consider North Korea's claim true because they can't risk underestimating it, but the claim is not verified.

North Korea has also tested long-range missiles but not completely. It has not tested missile re-entry, for example. Additionally, North Korea has not married a nuclear device with a long-range missile, and the United States does not know whether North Korea would do so without testing first.

"The threat here is, to me right now, it's a lot of bluster," said Philip Yun, executive director of the Ploughshares Fund, a group that advocates nuclear disarmament. "For them to deliver on a threat, they have to have intent and they have to have capability. And quite frankly, I don't think they have both."

Yun told CNN the purpose of the news might be internal.

"Kim Jong Un has got a large party congress that's going to be happening in May. And this is all about, for him, again, additional consolidation of power. He'll want to get rid and justify getting rid of any enemies he may have.

"And this is part of a process where he is able to ratchet up the pressure, increase his control internally, and brandish his credentials to be 'protecting the motherland.' And so all of this sort of helps him internally even though it may not ring true to many of us here outside," he said.

Yun stressed that he does not think the North Koreans are suicidal: "They know that if they did a pre-emptive attack or used nuclear weapons, they would cease to exist."

Fresh sanctions

Earlier this week, the U.N. Security Council voted to impose an array of sanctions against North Korea because of that nation's recent nuclear test and missile launch, both of which defied international sanctions.

The U.N. resolution that brought about the sanctions aims to cripple the economic factors that fuel North Korea's nuclear and ballistic missile programs.

The North Korean state news agency blasted the sanctions as "unprecedented and gangster-like."

The "political and economic pressure and military aggression on the DPRK have gone to a grave phase that can no longer be overlooked," KCNA said.

China reiterated its opposition on North Korea developing nuclear weapons.

Fu Ying, a spokeswoman for China's Parliament, said it will abide by the Security Council sanctions, but she highlighted the need for six-party talks to resolve the issue.

Hydrogen bomb

Discussions about new sanctions started after North Korea claimed to have successfully tested a hydrogen bomb in January, its fourth nuclear test.

Then, in February, Pyongyang said it had successfully launched an Earth satellite into orbit via the long-range Kwangmyongsong carrier rocket.

According to CNN's Paula Hancocks, Friday's developments are not necessarily new, but they do represent an increase in the tensions that already existed on the Korean Peninsula.

"And, also bear in mind, we're just a couple of days away now from the joint military drills between the United States and South Korea. These happen every year. Washington and Seoul say they're defensive in nature, but every year they irritate Pyongyang," she said.

Source: CNN
 
Kiongozi mkuu wa chama cha Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu nchini Korea (DPRK) Kim Jong Un alisema kuwa njia pekee ya kutetea uhuru wa taifa hilo ni kuimarisha zaidi vikosi vya nyuklia katika ubora.

Katika ishara ya wazi ya dharau ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa azimio jipya juu ya Korea Kaskazini katika kukabiliana na mipango yake ya nyuklia na makombora,Kim Jong Un aliapa kuwa ataigeuza nchi yake kuwa nchi ya nyuklia na akawaambia wanajeshi wake watayarishe mabomu hayo nyuklia yatakayotumiwa wakati wowote katika ulinzi wa taifa.

China Xinhua News
 
ff691c8b796e93e7c52df1fe44fb9e1d.jpg

Kiongozi wa korea ya kazkazini amelitaka jeshi la nchi hiyo kujiandaa kwa silaha zake za nyuklia kwa ajili ya kupambana na maadui
Kiongozi huyo alisema wakati huu ambapo marekani inahamasisha vita kwa nchi nyingine wanapaswa kuziandaa silaha zao za nyuklia ili kuitetea north korea na uhuru wake
Ki0ngozi huyo aliyasema hayo wakati akiwa katika shuhuli za kijeshi

Mpaka sasa haijulikani north korea imepiga hatua gani katika mpango wake wa silaha za nyuklia huku marekani wakiitaka korea ya kazkazini kuacha kuchochea uhasama wa kuchochea silaha za nyuklia

Na mimi swali langu linakuja hawa north korea tayari wanauwezo wa nyuklia au ni mikwara tu
Na je ni kweli hii nchi inawaza zaidi mpango wake wa nyuklia kuliko kuendeleza wananchi wake kama UN inavyodai
Na je vipi maisha ya watu wa north korea
Je hii nchi inaendeka kweli

Ukienda North Korea, huwezi kurudi, ni sawa na kwenda kuzimu bila ya kuwa Na nguvu za Mungu.
Ni kweli serikali inajishughulisha Sana na silaha hatari pamoja na nuclear.
Wananchi wa taifa hilo ni wafungwa huru.
Ole wako jaribu kumkosoa rais, adhabu yako ni kifo.
 
Hakuna lolote...ni kelele zilezile tu kutoka kwa huyo mwehu.

Yaani hakuna jipya kabisa.

Na usikute walikatuma tena kale kabibi kanakofokaga kwenye tv.

I see leo umenichekesha mpaka mbavu zinauma, hii video nimeangalia ni vigumu kwa mtu kuniaminisha hii Dunia ni moja, inawezekana hawa wenzetu wana sayari yao wanayoishi. Huku ni kujazana ujinga kupita maelezo, hivi hawa watu wanaruhusiwa hata kuangalia MTV? achilia mbali CCN?
 
Hao watu ni wa ajabu sana.

Na hicho kibibi kwa jinsi kinavyojikakamua wakati wa kuongea huenda huwa kinaaachia sana mashuzi.
 
Hao watu ni wa ajabu sana.

Na hicho kibibi kwa jinsi kinavyojikakamua wakati wa kuongea huenda huwa kinaaachia sana mashuzi.
Siku zinavyozidi kwenda ndio nazidi kumuelewa Donald Trump, kumbe yule jamaa anaijuwa vizuri Dunia kuliko wengi wanavyomchukulia na kura anazopigiwa inaonesha kuna kitu watu wanaoamini katika kweli wamekiona kwa Trump.

Tunavyowashangaa sisi wanorth Korea ndio anavyoshangaa Trump kuhusu Africa tunavumilia vipi kutawaliwa na watu bogus kabisa.
 
Ina maana na wewe umeamini huo uzushi kuhusu Donald Trump?
 
Ukienda North Korea, huwezi kurudi, ni sawa na kwenda kuzimu bila ya kuwa Na nguvu za Mungu.
Ni kweli serikali inajishughulisha Sana na silaha hatari pamoja na nuclear.
Wananchi wa taifa hilo ni wafungwa huru.
Ole wako jaribu kumkosoa rais, adhabu yako ni kifo.
Mbona mkuu kuna Watanzania wemeenda North Korea na wamerudi au ulikua na maana gani ??
 
Hakuna lolote...ni kelele zilezile tu kutoka kwa huyo mwehu.

Yaani hakuna jipya kabisa.

Na usikute walikatuma tena kale kabibi kanakofokaga kwenye tv.

Aisee nimecheka sana ,sasa hizo kelele anazopiga huyo bibi zina maana gani ?? Kuna uwezekano Marekani haijui huyu jamaa yuko mbali kiasi gani kwenye maswala ya Nyuklia ndio maana na yeye anamyatia nyatia tu
 
Oh ok.

Nilidhani unaamini katika ule uzushi wa maneno aliyoyasema kuhusu Waafrika na Afrika.
Sijawahai kushabikia siasa za Marekani hata pale Waafrika walipomshabikia Obama wakidhani anagombea Urais wa Africa, kumbe alikuwa anaomba urais wa MAREKANI.

Huyu Trump ndiye mgombea pekee aliyenivutia kwa sera zake za nje hasa Afrika na ni mkweli wa dhati anasema kila anachokijuwa na anachoamini, siyo kile wengi wangependa kusikia. bahati nzuri Warepublican wameliona hili na wanampa kura za ushindi, na wale viongozi vibaraka ambao wamegeuza MAREKANI NDIO KAMA SEBULENI kwao hata Viza tu watakuwa wanapewa kwa safari maalum tu.
 
Ila hivi vikwazo nahisi vitawauma sana norh korea na huenda vikawaathiri sana hawa jamaa na china pia anaemuunga mkono nae kakubaliana na vikwazo hivyo
 
Ila hivi vikwazo nahisi vitawauma sana norh korea na huenda vikawaathiri sana hawa jamaa na china pia anaemuunga mkono nae kakubaliana na vikwazo hivyo
Haudhani kwamba vikwazo hivi vinawanufaisha China ili kuendeleza biashara zao za siri na North Korea? maana North Korea hata bank nadhani wanategemea za China, itawachukuwa muda mrefu sana UN kuelewa China inanufaikaje na ukaidi huu wa North Korea, na hata Wakorea wenyewe sidhani kama wanajitambuwa hii situation ni benefit kwa Taifa la China.
 
Hakuna lolote...ni kelele zilezile tu kutoka kwa huyo mwehu.

Yaani hakuna jipya kabisa.

Na usikute walikatuma tena kale kabibi kanakofokaga kwenye tv.

hivi hilo ni vazi mtindo gani? Kamama haka kakali kanaongea kwa jazba
 
Yule kijana wa kimarekani aliyekamatwa na kipeperushi anataka kuondoka nacho kwa huyu Fat boy, vipi kuhusu hatima ya hii kesi ?
 
Sijawahai kushabikia siasa za Marekani hata pale Waafrika walipomshabikia Obama wakidhani anagombea Urais wa Africa, kumbe alikuwa anaomba urais wa MAREKANI.

Huyu Trump ndiye mgombea pekee aliyenivutia kwa sera zake za nje hasa Afrika na ni mkweli wa dhati anasema kila anachokijuwa na anachoamini, siyo kile wengi wangependa kusikia. bahati nzuri Warepublican wameliona hili na wanampa kura za ushindi, na wale viongozi vibaraka ambao wamegeuza MAREKANI NDIO KAMA SEBULENI kwao hata Viza tu watakuwa wanapewa kwa safari maalum tu.
Mkuu kumbe unapatana na ngabu! Maana mliwahi kutukanana sana. Big up.
 
Back
Top Bottom