Kilwa Masoko, Lindi: Zaidi ya Tani moja ya Dawa za Kulevya yakamatwa

Hapo sawaa maana pale kilwa masoko jamaa wapo mda wote na siku zote na meli yao ya kisasa kabsa na bodi ,sio rahc kupenya labda kama wangetoa rushwa ...ila mjeshi kula rushwa duuh Mara chache au hakuna kabsa
Aise

Ova
 
Elewa kitu kimoja hapa,baada ya magu kubana uingizaji wa madawa kwa njia hii ya majahazi,njia iliyokuwa inatumika ni waletaji
Kutumia nchi ya msumbiji,na kutoka hapo ndipo wabongo wakawa wanafata huko na kuingiza tanzania,ndomana kuna wakati ulikuwa unaona kuna watu wanakamatwa mtwara etc
Style ya wauzaji hawa wakiona njia inakuwa ngumu wanakuja na plan b mpaka c ilimradi
Watimize azma yao Hakimu Mfawidhi

Ova
 
Baada ya Mzee Magu kuondoka sasa watu wameamua kufanya dhihaka na zarau. Tani 2 kweli ndugu zangu?

Enzi za Magu watu kama hawa wangepotea wasijulikane wamepotelea wapi.

Wauza pembe za ndovu walipotea wengine walikimbia nchi. Ukikamatwa mbugani unahojiwa mtandao wako ukoje kisha unapotea na mtandao wako unapotea kuokoa tembo wetu.

Sasa Magufuli hayupo sijui kama tembo wetu watapona, sasa twiga watapakiwa kwenye guta ama majaji mchana kweupe badala ya ndege.

Wauza madawa ya kulevya watarudi kwa nguvu kubwa, zile njozi za viatu zitaanza kuning'inia kwenye nguzo za umeme muda si mrefu kuonyesha location ya wauza madawa ya kulevya.
Msukule Kindakindaki wa Jiwe!! Dunia hii hakuna nchi iliyowahi kufanikiwa kudhibiti ngada! Hata wakati wa Jiwe, matukio kibao yalitokea.
 
Msukule Kindakindaki wa Jiwe!! Hivi wale ambao walitajwa na Bashite walifanywa nini?! Au Bashite aliwasingizia tu? NI mjinga tu ndie anaweza kuamini wakati wa Jiwe watu waliacha kusafirisha dawa za kulevya! Na kwa kukumbusha tu, kuna madogo walidakwa wakiwa na heroin 30 kg ndani! Zilifikaje fikaje hapo ndani? Au walikuwa wanazalisha humo humo ndani? Kila mwenye akili zake alishuhudia ambacho kilifanywa na Serikali ya Jiwe ni skua-harrass mateja lakini wale barons wanaendelea kula maisha!!! Ok! Endeleeni kumpamba lakini ni porojo zitakazoingia akili mwa mapoyoyo aina yako lakini Jiwe ni Mwizi tu! Na kama ni mwizi, no surprise kuona ali-deal na punda huku akiacha barons!
Wewe zezeta kama Mazezeta wengine.

Umeshikwa akili na zero brain Mbowe.

Kweli aliewaita nyumbu hakukosea.
 
Hivi mzigo kama huu ukishakamtwa hatua gani ufuata juu ya mzigo wenyewe!?
Tunagawana kwa ajili ya matumizi ya nyumbani;JOKING🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓
 
Mizigo mikubwa hivi kupitishwa hivi inaonekana sio mara moja, ndio njia yao. Inawezekana mwenye mzigo alikuwa chini ya mbawa za JPM, sasa hana kinga watu wamemkaanga.
Ni watu wawili tu walioifanya kazi yao vyema pale DCEA,ni Nzowa na Siang'a,basi.
 
nyumbu acheni ujinga taifa linapotea bana!!
nilikuwa natoa maoni tu, unaweza kusimama na unalolihisi wewe......mi bado siamini kama linapotea ila naamini kuwa kuna watu (kama wewe) wanaoomba mchana na usiku lipotee ili malengo yao yatimie; liko wazi kabisa hilo. Mungu atamlinda mama dhihi ya husda na mahusda yenyewe!!
 
Jaman Si ndo wawekezaji wenyewe hao washaanza kuingia nchini au hamkumuelewa Mama Samia?, serikali yenyewe ishasema inawatengenezea mazingira rafiki wawekezaji kutoka nje waje kuwekeza nchini, mi hakuna hata kilichonishtua hapo.

Kazi iendelee, Ccm mbele kwa mbele
 
Back
Top Bottom