Mmh
Mmh
Acha unafiki hutuba za magu zote ngapi wakati magu katawala muhula mmoja tu.Muhula wa kwanza kuhutubia bunge Kikwete alikuwepo tena akashangiliwa sana pale Spika aliposema tumekumiss mzee.Mkuu achana na ushabiki mandazi ushakuwa mtu mzima mbona watu wanakuheshimu afu unakuwa na akili za boda boda.Hii ni serikali ya awamu ya sita bila uchaguzi. Mambo ni ruksa. Ukiona hadi Jakaya anahudhuria hotuba ya mama bungeni ujue mambo ni moto. Hakuwahi kuhudhuria hotuba za Magu zote.
Jiulize kulikoni.
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Mizgo mkubwa km ivi hauwez safirishwa kwa ndege.Wadau huu mzigo mkubwa mnoooooo mnooooooooo
Nashangaa kwanini wameusafirisha ki local kiasi hicho yaani tani 2 za heroine au cocaine usafirishe kindezi hivyo?
Hao jamaa wanaujasiri na roho ngumu sana aisee yaani wamerisk maisha yao dadeq zao hao wapakistan!
Anyway tani mbili ni dharau kwa nchi yetu hao pimbi hao!
Jinyonge, maana naona povu linazidi la fomuAcha unafiki hutuba za magu zote ngapi wakati magu katawala muhula mmoja tu.Muhula wa kwanza kuhutubia bunge Kikwete alikuwepo tena akashangiliwa sana pale Spika aliposema tumekumiss mzee.Mkuu achana na ushabiki mandazi ushakuwa mtu mzima mbona watu wanakuheshimu afu unakuwa na akili za boda boda.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Mbona mbunge yule wa CCM hakupotea mkuu na ubunge akabaki nao? Na vipi mdogo wake Rostam hata kesi haikuwahi kupelekwa mahakamani? 😂😂Baada ya Mzee Magu kuondoka sasa watu wameamua kufanya dhihaka na zarau. Tani 2 kweli ndugu zangu?
Enzi za Magu watu kama hawa wangepotea wasijulikane wamepotelea wapi.
Wauza pembe za ndovu walipotea wengine walikimbia nchi. Ukikamatwa mbugani unahojiwa mtandao wako ukoje kisha unapotea na mtandao wako unapotea kuokoa tembo wetu.
Sasa Magufuli hayupo sijui kama tembo wetu watapona, sasa twiga watapakiwa kwenye guta ama majaji mchana kweupe badala ya ndege.
Wauza madawa ya kulevya watarudi kwa nguvu kubwa, zile njozi za viatu zitaanza kuning'inia kwenye nguzo za umeme muda si mrefu kuonyesha location ya wauza madawa ya kulevya.
Una akili sana mkuu, BIG UP....mimi nimeenda mbali zaidi, huu mzigo ni wa CIA kwa akili zangu za kutizamia kwenye muvi!
View attachment 1762816
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na kikosi cha wana maji cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania wamekamata zaidi ya tani mbili ya dawa za kulevya aina ya Heroin.
Kazi iendelee,naona wauza unga wanajaribu kupima upepo,pongezi kwa serikali ya awamu ya sita
======
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na kikosi cha wanamaji cha JWTZ imewakamata watu saba wakisafirisha dawa za kulevya aina ya heroin zaidi ya tani moja kwa kutumia jahazi. Dawa hizo zimekamtwa eneo la Kilwa Masoko mkoani Lindi.
View attachment 1762634View attachment 1762635View attachment 1762636
Inaonesha hawa jamaa wametoka mashariki ya mbali na jahazi kwakuwa muundo wa jahazi si sawa na makahazi ya hapa kwetu: hawa ni jasiri sana. Inaonesha pia kuna mtu kaharibu mpango wao ama walisukimwa na upepo wakajikuta wamaingia kwenye maji yetuMamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na kikosi cha wana maji cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania wamekamata zaidi ya tani mbili ya dawa za kulevya aina ya Heroin.
Kazi iendelee,naona wauza unga wanajaribu kupima upepo,pongezi kwa serikali ya awamu ya sita
======
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na kikosi cha wanamaji cha JWTZ imewakamata watu saba wakisafirisha dawa za kulevya aina ya heroin zaidi ya tani moja kwa kutumia jahazi. Dawa hizo zimekamtwa eneo la Kilwa Masoko mkoani Lindi.
View attachment 1762634View attachment 1762635View attachment 1762636
Pale kuna meli kabsa za kijeshi zinaelea mda wote wangepenya vipi hawaa
Hata kwetu jahazi kama hizo zipo mbonaInaonesha hawa jamaa wametoka mashariki ya mbali na jahazi kwakuwa muundo wa jahazi si sawa na makahazi ya hapa kwetu: hawa ni jasiri sana. Inaonesha pia kuna mtu kaharibu mpango wao ama walisukimwa na upepo wakajikuta wamaingia kwenye maji yetu
Hawa wanakujaga kwa gia za uvuviPale kuna meli kabsa za kijeshi zinaelea mda wote wangepenya vipi hawaa
Wazee wa kulazamisha Legacy.Baada ya Mzee Magu kuondoka sasa watu wameamua kufanya dhihaka na zarau. Tani 2 kweli ndugu zangu?
Enzi za Magu watu kama hawa wangepotea wasijulikane wamepotelea wapi.
Wauza pembe za ndovu walipotea wengine walikimbia nchi. Ukikamatwa mbugani unahojiwa mtandao wako ukoje kisha unapotea na mtandao wako unapotea kuokoa tembo wetu.
Sasa Magufuli hayupo sijui kama tembo wetu watapona, sasa twiga watapakiwa kwenye guta ama majaji mchana kweupe badala ya ndege.
Wauza madawa ya kulevya watarudi kwa nguvu kubwa, zile njozi za viatu zitaanza kuning'inia kwenye nguzo za umeme muda si mrefu kuonyesha location ya wauza madawa ya kulevya.
Hapo sawaa maana pale kilwa masoko jamaa wapo mda wote na siku zote na meli yao ya kisasa kabsa na bodi ,sio rahc kupenya labda kama wangetoa rushwa ...ila mjeshi kula rushwa duuh Mara chache au hakuna kabsaHawa wanakujaga kwa gia za uvuvi
Wakifika umbali fulani huwa wanawapa
Watu wao signal wawafate walipo, na kufaulisha mzigo naona hawa jamaa sasa walitaka kuja mpaka nchi kavu washushe
Dah
Big up sana kwa jeshi letu la navy na police
Ova
Hivi hili linalozungumziwa hivi majuzi, au ilikuwa "trap"!? Au, ni....au...!? Mbona au zinakuwa nyingi, nini tena!?Baada ya Mzee Magu kuondoka sasa watu wameamua kufanya dhihaka na zarau. Tani 2 kweli ndugu zangu?
Enzi za Magu watu kama hawa wangepotea wasijulikane wamepotelea wapi.
Wauza pembe za ndovu walipotea wengine walikimbia nchi. Ukikamatwa mbugani unahojiwa mtandao wako ukoje kisha unapotea na mtandao wako unapotea kuokoa tembo wetu.
Sasa Magufuli hayupo sijui kama tembo wetu watapona, sasa twiga watapakiwa kwenye guta ama majaji mchana kweupe badala ya ndege.
Wauza madawa ya kulevya watarudi kwa nguvu kubwa, zile njozi za viatu zitaanza kuning'inia kwenye nguzo za umeme muda si mrefu kuonyesha location ya wauza madawa ya kulevya.
Hivi mzigo kama huu ukishakamtwa hatua gani ufuata juu ya mzigo wenyewe!?Hawa wanakujaga kwa gia za uvuvi
Wakifika umbali fulani huwa wanawapa
Watu wao signal wawafate walipo, na kufaulisha mzigo naona hawa jamaa sasa walitaka kuja mpaka nchi kavu washushe
Dah
Big up sana kwa jeshi letu la navy na police
Ova
Dah! mara hii!! wanataka kuua kabisa kizazi chetu hawa!!Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na kikosi cha wana maji cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania wamekamata zaidi ya tani mbili ya dawa za kulevya aina ya Heroin.
Kazi iendelee,naona wauza unga wanajaribu kupima upepo,pongezi kwa serikali ya awamu ya sita
======
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na kikosi cha wanamaji cha JWTZ imewakamata watu saba wakisafirisha dawa za kulevya aina ya heroin zaidi ya tani moja kwa kutumia jahazi. Dawa hizo zimekamtwa eneo la Kilwa Masoko mkoani Lindi.
View attachment 1762634View attachment 1762635View attachment 1762636
Wanauteketeza kesi ikiishamalizikaHivi mzigo kama huu ukishakamtwa hatua gani ufuata juu ya mzigo wenyewe!?