Kilwa Masoko, Lindi: Zaidi ya Tani moja ya Dawa za Kulevya yakamatwa

Yaani hao kabla ya kutoa maelezo nikuminya kwanza p*mbu mpaka zipasuke

KWA BAHATI MBAYA HAWA JAMAA TUNAWAENDEKEZA KWA KUWAPELEKA MAHAKAMANI!! KAMA ALIVYOKUWA ANASEMA MAREHEMU ABEID KARUME " UMEMKAMATA MTU KAIBA MKUNGU WA NDIZI , HUYU NI MWIZI KEBA UNAMPELEKA MAHAKAMANI KUFANYA NINI?" MAANA YAKE HAWA HUKUMU YAO ISICHELEWE!!!
 
Naona kama kawaida ya wana-jf wameanza kuufanyia habari hii ya kisiasa, shame!
Mzigo kama huu ni hatari Sana, sio kwa watumiaji la hasha, mwenye mzigo anaweza kukodi makomandoo (wapo wanajeshi waliostaafu mamluki ambao Kazi zao ni pamoja ni missions kama hizi) wakaja kukomboa huo mzigo kijeshi!) Au wakiona mbinu hiyo imefeli wanatawanya rushwa ya KUTISHA kuanzia tume ya kudhibiti madawa hadi kwenye baraza la mawaziri, kuna kisa kama hiki cha kukamata mzigo mkubwa kiliiacha Ikulu ya Nairobi enzi hizo matako nje, maafisa usalama na raia wema waliuawa! Jamani tuweke siasa pembeni hii ni hatari, ukibidi tuombe msaada kwa Mzee Joe Biden!
 
Tuliokua tunasema now hatuna raisi Naona mnaanza kutuelewa tu taratibu ... rest in power magufuli
Kwa hio kama wasingepatikana na kukamatwa na taarifa kutoka ndio ingemaanisha tuna raisi. Who knows kama huu haukuwa mtindo wa jiwe na kokoto zake? hakika ufisadi mkubwa kuliko kipindi chochote umetokea kwenye awamu yake mnatueleza nini kuhusu hili?
 
Pongezi nyingi sana kwa vyombo vyetu, haswa kwa JWTZ na kikosi maaalum cha kupambana na Madawa ya Kilevya.

kweli sasa mmedhamiria. kukamata zaidi ya tani 1!! safi sana, sasa kamateni mtandao wote unao jihusisha.

mtandao....mtandao....mtandao
 
Baada ya Mzee Magu kuondoka sasa watu wameamua kufanya dhihaka na zarau. Tani 2 kweli ndugu zangu?

Enzi za Magu watu kama hawa wangepotea wasijulikane wamepotelea wapi.

Wauza pembe za ndovu walipotea wengine walikimbia nchi. Ukikamatwa mbugani unahojiwa mtandao wako ukoje kisha unapotea na mtandao wako unapotea kuokoa tembo wetu.

Sasa Magufuli hayupo simui kama tembo wetu watapona, sasa twiga watapakiwa kwenye guta ama majaji mchana kweupe badala ya ndege.

Wauza madawa ya kulevya watarudi kwa nguvu kubwa, zile njozi za viatu zitaanza kuning'inia kwenye nguzo za umeme muda si mrefu kuonyesha location ya wauza madawa ya kulevya.
Sio kwamba aliifanya hiyo biashara iwe ya wachache wale tu walio ndani ya cycle yake?
 
Kiwango kama hiki cha madawa hakiwezi kupatikana kwa urahisi hata kwa wauza unga sugu, mpaka kuwe na mkono wa serikali fulani-fulani na taasisi kubwa. Watu walioweza kuuza madawa kwa viwango vya kuanzia tani ni aida ya Pablo Escobar na El-Chapo, ambao wao kupata tani 7 hadi 15 kwa siku ilikuwa ni kawaida tu. Inakuja kufahamika mwishoni kwamba wao hawakuwa wanafanya hivi kupata faida au utajiri, bali kulikuwa na ajenda kubwa sana wanaitekeleza.

Uelewa wangu wa kawaida tu, unanikumbuka kwamba kuna uhusiano mkubwa sana baina ya biashara ya MADAWA YA KULEVYA, UTAKATISHAJI PESA na UGAIDI. Pia, ili fedha zisionekane kirahisi basi taasisi ambazo zitatumika kufanya utakatishaji zitakuwa ni zile kubwa sana. Kuna mambo ukiyafikiria yanaogopesha sana.....
Ehh huko kwa masadali kuna watu wana mpk tani 20 zipo ndani

Ova
 
Baada ya Mzee Magu kuondoka sasa watu wameamua kufanya dhihaka na zarau. Tani 2 kweli ndugu zangu?

Enzi za Magu watu kama hawa wangepotea wasijulikane wamepotelea wapi.

Wauza pembe za ndovu walipotea wengine walikimbia nchi. Ukikamatwa mbugani unahojiwa mtandao wako ukoje kisha unapotea na mtandao wako unapotea kuokoa tembo wetu.

Sasa Magufuli hayupo simui kama tembo wetu watapona, sasa twiga watapakiwa kwenye guta ama majaji mchana kweupe badala ya ndege.

Wauza madawa ya kulevya watarudi kwa nguvu kubwa, zile njozi za viatu zitaanza kuning'inia kwenye nguzo za umeme muda si mrefu kuonyesha location ya wauza madawa ya kulevya.
Hivyo unfikiri maandalizi ya mzigo mkubwa kama huo yameanza baada ya MWENDAZAKE kwendazake?
 
Am shocked for sure duh....
watu kama hao siyo wa kuanza kupiga pich hapo ushaweka ushahidi public hao unamalizana nao huko huko badda ya kujua network yao basi
 
Ukionganisha nukta za promo ya CNN na kimbunga kupiga pwani ukanda wa Tanzania na mzigo wa tani mbili za heroin hata kama hujui kusoma unaiona picha ya kilichokuwa kinaendelea.
Una akili sana mkuu, BIG UP....mimi nimeenda mbali zaidi, huu mzigo ni wa CIA kwa akili zangu za kutizamia kwenye muvi!
American_Made_(film).jpg
 
Baada ya Mzee Magu kuondoka sasa watu wameamua kufanya dhihaka na zarau. Tani 2 kweli ndugu zangu?

Enzi za Magu watu kama hawa wangepotea wasijulikane wamepotelea wapi.

Wauza pembe za ndovu walipotea wengine walikimbia nchi. Ukikamatwa mbugani unahojiwa mtandao wako ukoje kisha unapotea na mtandao wako unapotea kuokoa tembo wetu.

Sasa Magufuli hayupo simui kama tembo wetu watapona, sasa twiga watapakiwa kwenye guta ama majaji mchana kweupe badala ya ndege.

Wauza madawa ya kulevya watarudi kwa nguvu kubwa, zile njozi za viatu zitaanza kuning'inia kwenye nguzo za umeme muda si mrefu kuonyesha location ya wauza madawa ya kulevya.
Una kiwango gani cha elimu?
 
Back
Top Bottom