Kilwa Giza kwa takribani siku 7

Nkungulume

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
2,988
1,209
Wilaya Kilwa amekuwa giza kwa kukosa umeme kwa takribani siku 7 sasa kwa mjibu wa waenyeji wa Kilwa wameleza kuwa umeme umekuwa hauwaki kwa kipindi hicho chote na kusababisha wananchi wengi kulala nje.

Kutokana na joto kali katika kipindi nilipojaribu kuwauliza tatizo nini walijibu kuwa hawajaelezwa mpaka sasa.

Hivi Tabesco mpaka leo hii bado tu wananchi wanaishi manzingira ya mwaka 47 tatizo nini?
 
Back
Top Bottom