kantasundwa
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 1,550
- 2,381
Kuwe na Tume huru ama iliyopo kwa sasa lazima tutashiriki hvyo hvyo tu na tutashinda acheni kuwakatisha wananchi tamaa bhana...hawa jamaa wanachokifanya ni kutukatisha tamaa tu lkn uchaguzi utakuwa Kama wa miaka yote...maumivu ya chaguzi iliyopita ya s/mitaa ccm hawatayarudia tena..kilichowakuta hawatataka tena kurudia upumbavu ule...nenda kapige kura ushindi upo