moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,077
- 2,882
mmmmhhh aseehhh haya mambo yanafanywa bongo tu eehh Mungu iokoe Tanzania
Watanzania siku wakijielewa yote haya yatapotea, nchi za wengine wangeshaliamshaIngekuwa ni nchi zinazo jali utu wa binadamu hadi muda huu Mwigulu Nchemba alitakiwa awe amesha jiuzulu uwaziri,