Kilombero jimbo lenye wasomi wengi na viongozi wengi wanaoitafuna nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilombero jimbo lenye wasomi wengi na viongozi wengi wanaoitafuna nchi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ELIESKIA, May 6, 2012.

 1. E

  ELIESKIA Senior Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kilombero kabla ya kuwaganyika kuwa na jimbo la ulanga imeendelea kutoa watu muhimu kwa serikal ambao mara zote hawawaletei maendeleo wananchi na bado wao ndo wanakumbwa na kashfa kibao kuwataja wachache wambao wanepata bahat ya kuwa nafasi muhimu wakashindwa 1. balali 2.benno ndulu 3.lyumba 4. 5 endelea kuwataja
   
 2. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,183
  Likes Received: 489
  Trophy Points: 180
  4.Mustapha mkulo,5.hadji mponda,6.Celina kombani,7.lucy nkya,8.Amos makala kwa uchache mwingine aendeleze!
   
 3. PENDING'ULA

  PENDING'ULA JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 269
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umekula?
   
 4. T

  Twigwe Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Du,Mkulo siyo kilosa?
   
 5. M

  Moony JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  wa nini kwani???
   
 6. E

  ELIESKIA Senior Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  bado kuna kina mponda na wengine lakin hata barabara ni tatizo. ingawa kuna rasilimali nyingi . kuna plant mbili za umeme ,bado ni bonde linalotoa mchele kulisha tanzania
   
 7. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,344
  Likes Received: 1,060
  Trophy Points: 280
  hivi mzee Ngasongwa nae sio wa huko huko kweli?
   
 8. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,183
  Likes Received: 489
  Trophy Points: 180
  Amekula na ndio maana ana tafakari mambo kwa kina na wewe mwenye njaa unaishia kuuliza chakula,njoo mtaani kwetu kuna msiba menu for free pa kulala kuna majamvi tosha.
  Alafu usiingilie mada kama una personal interest na watajwa
   
 9. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #9
  May 6, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,183
  Likes Received: 489
  Trophy Points: 180
  Wote dugu moja tu!
   
 10. E

  ELIESKIA Senior Member

  #10
  May 6, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ngasongwa nae wa huku .cha kushangaza sasa tumepewa pedeshee muteketa miaka miwil ameuliza swal moja na kuchangia mara moja .miaka mitano atakuwa na maswal mawil
   
 11. Baba Imani

  Baba Imani Member

  #11
  May 6, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Judge Mwesiumo
   
 12. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #12
  May 6, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Jaji Mwesiumo.
   
 13. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #13
  May 6, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Balali ni Iringa kaka,umemsahau Gulamali ambaye alitengeneza usultani wa kuwa mabasi yake pekee ndio yatakuwa yanaenda Ifakara na Mahenge,enzi hizo mpaka usubiri Sharuks kwenda Mahenge,hadi Mwaibula alipoamua kuvunja ukiritimba huo,wasomi wengi wa hizo wilaya walikuwepo na walikaa kimya huku wakiona ndugu zao wakiumia,wasomi na viongozi wanaotoka hizo wilaya ni wabinafsi mno,fikiria wakati huo huyo ********* alikuwa mbunge wa Ifakara ,akiwakandamiza watu wake,nao wakawa baado wanamchagua kuwa mbunge wao!! sishangai MITANZANIA NDIVYO TULIVYO
   
 14. M

  Mbuyi Member

  #14
  May 6, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 13
  Labda mimi niunganishe kwanza hizi wilaya mbili za Kilombero na Mahenge wakiwa na majimbo yake ya uchaguzi ambayo ni Kilombero,( Mtwanga, Mwesiumo, Kyelula, Mwesiumo,Gulamali,Ligalama na sasa Pedejee Mzee wa gridi mbili ktk wilaya yake Abdul Mtekete).Ulanga Magharibi na Ulanga Mashariki( kwa ujumla wao Nyoni,Itatilo,Ngasongwa,Celina,na huyu kigugumizi Dr? Mponda!.)Sasa kati ya hawa Nyoni, Mwesiumo,Itatilo,Ngasongwa,Celina,Mponda ndiyo walioukwaa aidha uwaziri au unaibu waziri. Ukiachia hawa watu wengine maarufu wenye pesa zao(!) Gulamali,Dr Getrude Lwakatale pia dada yetu mpendwa Regia Mtema(RIP) nao wamepata nafasi ktk ubunge!Ukiachia hao wengine waliopata nafasi za kiutendaji kiselikari ni Balali, Ndulu, Lumbanga,Liyumba kwa kuwataja wachache. Sasa niunge mkono hoja na kuuliza maswali, Wana Ulanga(Kilombero na Mahenge) ni nani kati ya hawa anaweza ingalau kuweka kumbukumbu ya kufanya kitu kikubwa?Nianze kujibu mwenyewe 1.Nyoni hakuna
  2.Itatilo- Hakuna kitu,pamoja na kuwa alikuwa ktk wzr ya Ujenzi,hakuna Barabara wala daraja la Mto Kilombero
  3.Mwesiumo- kidogo awamu ya kwanza alifight na akina PM Msuya, kurudisha nguzo na kuleta umeme kutoka Kidatu kuja Ifakara mpk mahenge. Awamu ya pili akiwa naibu waziri ni zero kubwa!4. Ngasongwa- Hakuna kitu, no daraja no barabara! sana sana tulimuona ananing'inia kwenye mti kupata mtandao wa Zain huko kwao Malinyi.5.Celina Kombani zaidi ya vikundi vya akina mama na kuchaguliwa bila kupingwa, bado hospitali ya Mahenge imepigwa X mbele yake.Safari hii amekuwa wa mapooza labda kwa kuwa kiatu alichokuwa amevaa'sheria' si fani yake(alikuwa anatia aibu tu).Mponda hata wenziwe wa Ifakara centre wanamshangaa kama spika alivyokuwa anamshangaa JK kwa kumchagua mapooza! Wengine wote sikumbuki chochote zaidi ya Lumbanga kuja na helcopter kumchukua mama yake Mngeta badala ya kutumia ndege hiyohiyo kuleta dawa kwa wengi tu waliokuwa wamelazwa kwa ugonjwa wa kipindupindi mahala hapo.Kwa hawa wapya namkumbuka Mteketa kununulia mihogo ya kukaanga wasela wa mbingu. Pia Regia Mtema jinsi alivyokuwa na uwezo wa kujenga hoja Bungeni nakuunganisha vijana wa wilaya nzima pia kufanya kazi ya kiubunge wa jimbo baada ya kugundua mwenyewe anazaa 'mapooza'! .Ama hakika chema hakidumu.naomba wengine muendelee.
   
 15. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #15
  May 6, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Mhhhh. Amesema Kilombero Na sio Morogoro.
   
 16. E

  ELIESKIA Senior Member

  #16
  May 6, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mbuyi umemaliza yote . na cha kushangaza bado wanachagua kwa kuangalia kofia na rangi za kijan na manjano
   
 17. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #17
  May 6, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Benno Ndullu hela alizokomba za STIMULUS package hajazileta huko kwa WAKUIMUKA?
   
 18. E

  ELIESKIA Senior Member

  #18
  May 6, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Alete wapi hela stimulus wakat eti kwa umri ule ndo anajenga kwao sasa kajumba .mpka leo anafikia guest kama kwa ukoo ameshindwa ataweza wilaya
   
 19. M

  Mnyonge Namba1 JF-Expert Member

  #19
  May 7, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 402
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ngasongwa wa huko na kiti cha ubunge wake sasa kinakaliwa na muuaji wa wagonjwa Mahospitalini.Haki kwa M4C lazima 2015 nimpige 3x0 halafu natinga mjengoni
   
 20. n

  nyabwai Member

  #20
  May 7, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Naomba kuuliza jamani hivi Balali na Liyumba si wanatoka Iringa hawa au??!!
   
Loading...