Kilolo:mwenyekiti wa baraza la wazee wa chadema avamiwa na wanaccm na kujeruhiwa sana

Mbunge wa ilula

JF-Expert Member
Jun 3, 2012
211
18
Ni kata ya ngangange katibu wa ccm wa wilaya akishirikiana na wezake wamemvamia Mzee Nyaulingo na kumvunja mkono na
 
Kuchanya Kutali, hasi padinde!! CCM yaelekea kuna wanachokitafuta na soon watakipata!!
 
Pia wamemjeruhi kichwani na kumpasua mzee wa watu,hapa ngangange kuna kampeni za uchaguzi wa diwani wa kata,inauma sana
 
Leo ni siku ya shetani,ccm wanaua watu vibaya sana leo!!!! KESHO asubuhi kutakuwa na maiti nyingi na majeruhi wengi watakaotokana na kazi ya mikono ya ccm,CCM wameapa kumwaga damu iwezekanavyo usiku huu wa leo,wakazi wa Arusha kaeni chonjo[source protected]
 
Kova nikiandika maneno hapa utasema mimi mchochezi ila huu upuuzi wa ccm hautavumiliwa,hii ni taarifa tuu kwako
 
Tunakoelekea uzalendo utatushinda,kila kukicha kiongozi au mwanachama wa chadema anauwawa,mara avunjwa miguu,mikono,achomewa nyumba,asweka ndani,na sasa tuna mda hatujasikia kada wa ccm apigwa na mashabiki wa cdm kila siku kada wa chadema atekwa ni zaidi ya miaka 5 sasa,ndiyo kusema ccm mnataka kumwaga damu? kuweni na huruma na watanzania wenzenu,miaka 52 ya manyanyaso haitoshi mwataka kuendelea kunyanyasa watoto wa masikini?
 
Samahani jf natumia simu ndogo ndo maana nawaletea habari nusu lakini kesho ntawatumia picha kwa sasa niko huku porini
 
Kova unaagizwa kufanya kazi yako. kama uwezi waacheni cdm wajilinde wajuavyo. hali hii haivumiliki. wpte ni watanz wenye haki sawa ya kulindwa, kupiga kura, kuchagua na kuchaguliwa.
 
Ni kukosa hoja na kuamua kutumia mabavu, kweli CCMwewe wanaelekea kuzikwa kabisa ndo maana wameamua kutumia vitisho (argumentum ad bacculum)
 
Ndugu zanguni wanajf tukio hili limetokea wilaya ya kilolo mkoani Iringa katika kata ya ng'ang'ange
 
mbunge wa ilula tunashukuru kwa taarifa!!! Naomba pia utujulishe tathimini ya harakati pande izo!! NGULUVI YIKUTANGAGE
 
Mpaka sasa katibu wa ccm wa wilaya ya kilolo bw.Kimaro bado hajakamatwa na polisi pamoja na kuhusika kwake kujeruhi
 
Hali nzuri kwa cdm ndo maana ccm wameamua kujeruhi lkn sasa wananchi wameshindwa kuhudhuria kampeni kwa kuogopa polisi
 
sasa hii dola ni ya upande mmoja ? Serikali imekaa kimya tu,jamani kumbukeni damu inayomwagika hapa kwenye arthi ya Tanzania,itafikia wakati italia.Maana watanzania wasio na hatia wanauawa na ccm,na hakuna anayeuliza ambaye ni serikali,Mungu amekaa kimya anayaona madudu ambayo watu wake wanafanyiwa.Ipo siku isio na jina mambo yote yata-change,
 
Mpaka sasa polisi wanamshikilia katibu wa ccm wa kata ya ng'ang'ange lkn bw.Kimaro katibu ccm wilaya bado hajakamatwa
 
Back
Top Bottom