Misterdennis
JF-Expert Member
- Jun 4, 2007
- 1,741
- 480
Ngoja nisome rasimu ya katiba mpya inasemaje kuhusu hawa viranja wa ccm.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimetafuta / search maneno "mkuu wa wilaya" na "mkuu wa mkoa" ktk rasimu ya katiba mpya .... sikupata chochote.
Hii ina maana kuwa hawa watu hawamo tena na wala hawatatambulika tena kikatiba? kAMA NDIO HIVYO, THEN GOOD RIDDANCE !!!
Mzee Warioba alisema katiba za nchi husika (Tanganyika na Zanzibar) ndo zitakazoamua iwapo hao wakuu wa wilaya na mikoa waendelee kuwepo au la.
Kila mtu ni kamanda pale cdm. Ndo maana mnadharaulika.
Matukio kama haya yananitia uchungu wa kufanya chochote chenye manufaa kwa taifa langu. Hakuna aliyejuu ya haki ya mtanzania yeyote kwa njia yoyote ile. Tunaweza kuendelea na ukondoo wetu, lakini Mungu hawezi ruhusu tuonewe na kondoo wenzetu.
Hawa ma DC na ma RC ni askari wa CCM.
Nasikia kaweka mwingine tena leo. ni mtumishi wa serikaliNiuzie kesi hiyo ya false imprisonment! mbona kesi tamu!
Ni mtoto wa John Guninita mUVCCM wa kale? Daaah hivi vyeo vya kuwekana...Hivi huyu kilaza naye alipewa u-DC? Mara ya mwisho tuliambiwa anasoma kidato cha pili, kisha maliza masomo yake?