Kiloids (Uvimbe unaosababishwa na kukatwa na vitu vya ncha kali)

dedon

JF-Expert Member
Jul 6, 2015
1,493
2,000
Guyz mm nna ndugu yangu ana kiloids (uvmbe unaosababishwa na kujikata na vitu vyenye ncha kali) tatzo ni kwamba alishawah kwenda kwa wataalam wakamshaur waikate then kuna sindano jna silikumbuki wamchome itazuia isirud bt kikaota kikawa kikubwa zaid,,,akaenda kkoo kuna wakorea ambao wamespecialize na hayo mambo walimshaur hvo hvo walipokikakat tena wakamchoma hio sindano kikaanza tena kurud tena kikubwa zaidi saa hv amekata tamaa naomben ushaur kama kuna namna yyte ya kukitibu
 
mdetichia

JF-Expert Member
Feb 13, 2015
5,293

Mpeleke Muhimbili pana ma dr wazuri na vipimo vya uhakika usijezalisha kansa kwa kubahatisha tiba mjomba.
 
Bulamba

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
11,276
2,000
Matibabu ya keloids ni magumu.Keloids zinapendwa kurudi baada ya kukatwa.Kuna wengine hizo shindano za steroids zinawasaidia.Kuna wengine wanahitaji mionzi baada ya kukatwa.Nakushauri uende Taasisi ya saratani Ocean Road.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom