Killings in Nigeria! (Graphic) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Killings in Nigeria! (Graphic)

Discussion in 'Jamii Photos' started by Pape, Apr 21, 2010.

 1. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  If there was a time when the Church and Mosque needed
  to pray was now! The world is worse now than Sodom and
  Gomorrah please rise up and pray!!!!

  [​IMG]

  May their souls rest in peace!
   

  Attached Files:

 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hatari sana hiii..
  Mungu saidia Nigeria!
  Ni katika jina la Yesu nimeomba na kushukuru!
   
 3. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Amen!
   
 4. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  ahaaaa Pape bwana...khaa.
   
 5. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  what is your problem?
   
 6. L

  Lubaluka JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 496
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  is it real wakuu.... !!!!! maombi yanahitajika sana !!!
   
 7. N

  Nyumbu- JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 969
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Msishangae...mnapowashangilia majuha kama Mtikila wakiropoka ujinga wao kwa kufilisika maneno ya kuongea, halafu serikali inamwangalia tu, matokeo yake huwa hivi. Kumbuka Mtikila alipokuja na sera zake za chuki dhidi ya Ma*********, mie nilishuhudia kijana mmoja wa Kihidi ( poor youg boy indeed) kule Songea miaka ya 93 akishushwa kwenye gari pekee lililokuwa linaelekea Njombe : kisa Mhindi!!! Huu upumbavu wa mauaji kama haya huletwa na watu Charismatic kama hawa wanasiasa wetu , wanaocheka huku wakitamani damu. Ni vyema tukaungana kupungaza ghadhabu ambazo tayari zimeanza kujengeka kwa misingi ya kidini, kikabila na hata kiukanda. Hatari iliyopo Tanzania ni kubwa sana maana hata mijadala Bungeni imeanza kuwa ya mitizamo ya Kimakundi, Kikabila, na Kidini. Tunaelekea kubaya sana, tena kuliko hivyop ulivyoona. Who expected whta is haoppening in Kenya? Be warned ......
   
 8. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duuu! inaelekea na wewe siku hizi unaendaga kule....wanakofufua waliotangulia mbele ya haki....ubarikiwe sana PJ
   
 9. d

  darbizman Member

  #9
  Apr 21, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Very sad indeed.

  To understand why these things are happening in Nigeria you need to know the powers behind the bloodshed.

  They are caused by Satan's second in command and she is called the Queen of Heaven and she's a very wicked spirit and she's found in all cultures of the world.

  Only those who have been washed by the precious blood of Jesus can overcome her and destroy her power.
   
 10. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
   
 11. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #11
  Apr 21, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Inanikumbusha mwanzoni mwa miaka ya 90 kule Rwanda. Mambo yalianza hivi hivi.
   
 12. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #12
  Apr 21, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Hii inanikumbusha 94 wakati wa genocide ya Rwanda na Burundi!
   
 13. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #13
  Apr 22, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nilifanikiwa kuongea na watu walioponea chupuchupu katika mauaji ya watutsi na wahutu huko Rwanda, wanasema vita sio nzuri..............
   
Loading...