Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,034
- 7,590
Hawa ni kati ya vijana wachache walioingia Chadema kwa nguvu kubwa sana. Uwezo wao wa kujenga hoja, kuhoji na kushawishi havikutiliwa shaka hata kidogo. Ilifikia hatua wakaweza hata kuhoji baadhi ya mambo juu ya umakini wa baba yao mkubwa mzee Wassira (a.k.a Tyson).
Binafsi nawakumbuka kipindi kitamu cha Dr. Slaa miaka ya 2010-2013. Kwa mda mfupi waliokaa Chadema waliweza kuiamusha BAWACHA na kuwavutia vijana wengi. Bahati mbaya kupotea kwao kulianza taratibu na ghafla mpaka leo hawasikiki tena wapi walipo, Bawacha imekuwa kama kiini macho na imekosa msisimko kabisa.
Chadema tunaomba mtwambie ni wapi waliko hawa wadada shupavu, je, ni siasa zenu nje ya Dr. Slaa zilizowakwaza, ni usimamizi mbovu ndani ya Bawacha ama ni misuguano ya madaraka kwenye umoja wao wa wanawake? Mie naamini aina hii ya siasa za Chadema si salama kwa watu wengi na hasa wale waliokuwa na ushawishi enzi za kabla ya chama kuuzwa.
Mwana Kotire yuko wapi?