Kilitime Nightclub kufunguliwa tena

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,837
8,221
Kwa wale wadau wa kujimwaga usiku ile Night Club maarufu iliyofungwa kwa ajili ya ukarabati na kupoteza mwelekeo itazinduliwa tena Jan 29,club hiyo ipo karibu na Legho bar na kwa hakika inapendeza ila ushauri wa bwelele kwa management waangalie usalama wa watumiaji kwani hapo nyuma hapo club palikuwa ndo gheto la vibaka hata ukienda ****** vibaka wanakuja kukupora pia wawafundishe mabaunsa wao maadili ya kazi,nafikiri wajifunze kutoka Ambiance Club na kwa wale wapenzi wa vicheche haya sasa uwigo umeongezeka na kuwa mkubwa,haya shime tuonane hiyo siku
 
Akajiulize kwanza nini kilichofanya akafunga then
tutafikiria kuja tusije wekwa kafara wengine
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom