Kilio Moshi: Mama awacharanga watoto 4 polisi waliarifiwa wakapuuza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilio Moshi: Mama awacharanga watoto 4 polisi waliarifiwa wakapuuza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Apr 29, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,269
  Likes Received: 5,635
  Trophy Points: 280
  KILIO NA SIMANZI IMETANDA MJI WA MOSHI PALE MAMA MMOJA KUTOKA KIJIJI CHA KARIMA MOSHI
  KUWACHARANGA WATOTO WAKE 4 3 KUFA HAPO HAPO NA MMOJA KUISHIA KUTAFUTA PUMZI PALE ICU MAWENZI..HABARI ZAIDI ZINASEMA MAMA HUYO AMBAE AMEKUWA NA MATATIZO YA KICHWA MAR MOJA MOJA AMEKUWA AKILUMBANA NA MUMEWE KILA ANAPOWEKA PESA MAMA HUYO KUKIMBILIA AMA KUVUNJA KIBBOX NA KWENDA KUNULIA ""KITOCHI""""""""""
  JIRAN WAKIONGEA NA MWANDISHI WA TBC WAMESEMA MAMA HUYO KAZI YAKE NI POMBE NA KUFWATA NA W ANAUME MUMEWE AMEKUWA AKILIMBIKIZA AWEKE HELA WAMALIZIE NYUMBA MAMA HUYO HUKIMBILIA KUVUNJA NA KUNUNUA ILE POMBE YETUU......

  HABARI ZAIDI ZINASEMA MAMA HUYO WIKI MOJA KABLA ALIKOROFISHANA NA MUMEWE NA WAKATI MUMEWE AKIWA KAZINI NDUGU WA MUMEWE ALIKIMBILIA POLISI PALE ALIPOMTOA MTOTO WAO KUTOKA MIKONO YA MTOTO MAMA ALIEKUWA AKINYONGWA NA MAMA HUYO NA KKIMBILIA NAE POLISI WALIPOFIKA POLISI WAKIONGOzwa na mkuu wa kituo walimpuuza na KUMWAMBIA HAYO MATATIZO YA NGUMBANI AYAWAHUSU KABLA YA KUANZA KUWAAMBIA MAMA HUYU ANA MATATIZO YA AKILI WAKASEMA AITUHUSU....INASIKITISHA SANA KUONA JESHI LINALOKUWEPO KWA AJILI YA WATANZANIA KUGAFIILIKA NA KUGEUKA NYOKA KW A WATANZANIA.....


  MIILI YA MAREHEMU IKO MAWENZI IKISUBIRI KUFANYIWA UTAFITI...NA MTUHUMIWA AMEKAMATWA NA ANASHILIKIWA NA POLISI ;MNAWEZA KUONA HAWA POLISI WALIVYO STUPID WANAKAMATA MTU BAADA YA KUUA NA KUSHINDWA KUKAMATA WAKATI AKITISHIA KUUA
  HIVI WANAISHIA ELIMU GANI JAMANI MAANA NAONA KILA KITUO BABA YAO NA MAMAM YAO AKILI ZAO SAWA...............AMA NI WANAKUWA NA MATATIZO YA KIFAMILIA ??
   
 2. Fab

  Fab JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2010
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 763
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh watoto wanne??huyo mama alitakiwa awe hospital na sio polisi!
   
 3. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2010
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Msiba mkubwa huu. Mola awalaze watoto hao pahala panapostahiki
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Too Bad...Huyu mama akili zake sio nzuri, actually ana faili Mawezi Hospitali...Sasa sijui kwanini aliachiliwa akaja kuishi nyumbani, maana attempt za kufanya hivyo si chini ya mbili zlishazifanya!
   
 5. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Moshi ndio mkoa unaoongoza kwa VICHAA nchini kwa sababu ya matambiko.....tena hili nalo linahitaji thread yake
   
Loading...