Mhujumu Uchumi
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,575
- 3,515
Huyu Ndugai ana jeur na kiburi, sijui anajionaje huyu babu mwathirikaTangu Rais Samia atengue uteuzi wa DC sabaya kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali ndidi yake hisia zinaniambia Siku za Spika Ndugai zinahesabika ikizingatiwa kwamba makosa ya spika yanaonekana in makubwa kuliko ya Sabaya.
Siku vyama vya upinzani wakikutana na mwenyekiti wa CCM na Rais wetu ,spika Ndugai aombe mchakato wa kupata wabunge wa viti maalumu kupitia CHADEMA haukuwa na dosari yoyote