Kilio dhidi ya Spika Ndugai ni kikubwa kuliko kwa DC Sabaya. Je, siku za Ndugai nazo zinahesabika?

Tafakari yetu

JF-Expert Member
Apr 19, 2021
1,502
4,408
Tangu Rais Samia atengue uteuzi wa DC sabaya kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali ndidi yake hisia zinaniambia Siku za Spika Ndugai zinahesabika ikizingatiwa kwamba makosa ya spika yanaonekana in makubwa kuliko ya Sabaya.

Siku vyama vya upinzani wakikutana na mwenyekiti wa CCM na Rais wetu ,spika Ndugai aombe mchakato wa kupata wabunge wa viti maalumu kupitia CHADEMA haukuwa na dosari yoyote
 
Mama kanyaga hao Kima!🐒🐒🐒
p09876.jpg
 
Hujui mihimili inafanya vipi kazi, Spika haingiliwi, bado huelewi, hivi nyie watu akili zenu shule mlisoma wapi? Unamlinganisha level ya Spika na DC? Kweli? Ndio maana Chadema imejaa mazezeta wengi sana, Hivi unamjua Spika vizuri na ni mhimili gani?
 
Basi ukiwa kiazi kaa kwa kutulia.

Bunge ni mhimili. Spika hateuliwi na Rais.
 
Lazima kuna maslahi ya kitaifa kwa wale kumi na kenda kuwepo bungeni. Hata kama mama asingetaka wawepo bungeni, kwa sasa hana namna. Makosa yalishafanyika kutoka kwa mwendazake. Hao watu 19 wako sana bungeni.
 
Hujui mihimili inafanya vipi kazi, Spika haingiliwi, bado huelewi, hivi nyie watu akili zenu shule mlisoma wapi? Unamlinganisha level ya Spika na DC? Kweli? Ndio maana Chadema imejaa mazezeta wengi sana, Hivi unamjua Spika vizuri na ni mhimili gani?
Spika anaingiliwa sana tu
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom