ndandambuli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 948
- 639
Wewe ndiye hujielewi kabisa,yaani hujui boss wa Spika ni mwenyekiti wa chama anachotokaWabongo unadhani wanajielewa basi ni full maujinga......
hawajui raisi hana mamlaka juu ya spika...
Wewe ndiye hujielewi kabisa,yaani hujui boss wa Spika ni mwenyekiti wa chama anachotokaWabongo unadhani wanajielewa basi ni full maujinga......
hawajui raisi hana mamlaka juu ya spika...
Naona mumepoteana ujinga umewajaa sasa hata hamuelewi spika huwa anapatikanaje mnadhani huwa anateuliwa na Raisi!!! Yule huchaguliwa na wabunge mhiomili unaojitegemea!!Tangu Rais Samia atengue uteuzi wa DC sabaya kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali ndidi yake hisia zinaniambia Siku za Spika Ndugai zinahesabika ikizingatiwa kwamba makosa ya spika yanaonekana in makubwa kuliko ya Sabaya.
Siku vyama vya upinzani wakikutana na mwenyekiti wa CCM na Rais wetu ,spika Ndugai aombe mchakato wa kupata wabunge wa viti maalumu kupitia CHADEMA haukuwa na dosari yoyote
Akili yako fupi mno....Wewe ndiye hujielewi kabisa,yaani hujui boss wa Spika ni mwenyekiti wa chama anachotoka
Sio rahisi kihivyo ni bunge pekee lenye uwezo wa kumuondoa Spika sio Raisi wala mahakama,nI BUNGE lenyewe kupiga kura za kutokuwa na imani nayeNdugai sio siku kuhesabika. zimeishakamilika.
Kwani anashindwa nini? Akinyofoa tu kadi ya chama Faru John kwishney habari yake.Ndo ujue JF Ina mabata wengi.Anasubiri SSH amtumbue Ndugai.
Yaani CHADEMA wamechanganyikiwa hata hawaelewi kipi ni kipi!!!Akili yako fupi mno....
kwa hiyo akiwa Mwenyekiti unadhani raisi ana automatic right ya kumuondoa spika!!!?
Iwe kwa njia yoyote anamwondoa kwasababu yeye ndiye boss kwenye chama chao,atamwondoa kwa nguvu ya uenyekiti wa chama na sio urais.Akili yako fupi mno....
kwa hiyo akiwa Mwenyekiti unadhani raisi ana automatic right ya kumuondoa spika!!!?
si rahisi hivyo kwa spika ni kitu kisichowezekanaKwani anashindwa nini? Akinyofoa tu kadi ya chama Faru John kwishney habari yake.
Chama chake chini ya mwenyekiti wake kisipokuwa na imani naye je ataendelea kuwa Sabufa?Sio rahisi kihivyo ni bunge pekee lenye uwezo wa kumuondoa Spika sio Raisi wala mahakama,nI BUNGE lenyewe kupiga kura za kutokuwa na imani naye
Tangu Rais Samia atengue uteuzi wa DC sabaya kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali ndidi yake hisia zinaniambia Siku za Spika Ndugai zinahesabika ikizingatiwa kwamba makosa ya spika yanaonekana in makubwa kuliko ya Sabaya.
Siku vyama vya upinzani wakikutana na mwenyekiti wa CCM na Rais wetu ,spika Ndugai aombe mchakato wa kupata wabunge wa viti maalumu kupitia CHADEMA haukuwa na dosari yoyote
Waliochanganyikiwa zaidi misukule wa marehemuYaani CHADEMA wamechanganyikiwa hata hawaelewi kipi ni kipi!!!
Wanajifariji kijinga!!!Wabongo unadhani wanajielewa basi ni full maujinga......
hawajui raisi hana mamlaka juu ya spika...
Rais anaweza kumtoa spika mara moja, tena smoothly. Yeye Kama mwenyekiti wa CCM, ni kutaka tu wabunge wake wakose Imani na Ndugai bhasii
Kwa sababu ya hao covid-19?Hiyo sinema ilichezwa na CCM kwa hiyo SSH hawezi mpokonya Kadi.Kikubwa ni Albadir tu,Kama ile ya wapemba wakati wa uchaguzi ilivyokwenda na Mwendazake.Kwani anashindwa nini? Akinyofoa tu kadi ya chama Faru John kwishney habari yake.
CHADEMA wamechanyikiwa WANATWANGANA VITA wao kwa wao BAWACHA na AKINA MDEE ukiwaambia itisheni baraza kuu limalize ugomvi hawataki!!! wanabaki kulilia CCM iwasaidie Mama SAMIA WA CCM na NDUGAI WA CCM wawasaidie!!!!! kitu ambacho wao wenyewe wanatakiwa wakimalize kupitia baraza kuu.Wanaliia CCM IWASAIDIE!!!!!Waliochanganyikiwa zaidi misukule wa marehemu
hujui chochote na bado unashupaza shingo, hujui sita alivotolewa kwa sekundeHujui mihimili inafanya vipi kazi, Spika haingiliwi, bado huelewi, hivi nyie watu akili zenu shule mlisoma wapi? Unamlinganisha level ya Spika na DC? Kweli? Ndio maana Chadema imejaa mazezeta wengi sana, Hivi unamjua Spika vizuri na ni mhimili gani?
Spika huyu aliyeambiwa awabane wapinzani wakiwa ndani ya Bunge na wakitoka nje mwenda zake anapiga risasi na yeye akawa anafanya kweli leo hii haingiliwi Mwaisa? Ngoja nikusaie kidogo.Hujui mihimili inafanya vipi kazi, Spika haingiliwi, bado huelewi, hivi nyie watu akili zenu shule mlisoma wapi? Unamlinganisha level ya Spika na DC? Kweli? Ndio maana Chadema imejaa mazezeta wengi sana, Hivi unamjua Spika vizuri na ni mhimili gani?
hivi kikwete alivompa makinda uspika alifanyaje?si rahisi hivyo kwa spika ni kitu kisichowezekana
Utasubiri sana. Katiba ya Tz haina mlinzi.Tangu Rais Samia atengue uteuzi wa DC sabaya kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali ndidi yake hisia zinaniambia Siku za Spika Ndugai zinahesabika ikizingatiwa kwamba makosa ya spika yanaonekana in makubwa kuliko ya Sabaya.
Siku vyama vya upinzani wakikutana na mwenyekiti wa CCM na Rais wetu ,spika Ndugai aombe mchakato wa kupata wabunge wa viti maalumu kupitia CHADEMA haukuwa na dosari yoyote
Yupo mpaka 2030 itunze hii commentSSH hana akili wala guts za kumsogelea Ndugai, na akijaribu anaweza idodosha serikali yake mwenyewe, hamna mtu yoyote mwenye akili timamu anamuamini SSH, wanaheshimu tu katiba yao amelize muda wake wenye akili timamu wachukue nchi.