Kilio chetu wafanyabiashara ya baa

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,412
4,558
kwanza tunaomba kuruhusiwa kuuza masaa 24 kwani tunapokua na mauzo mengi TBL/SBL faida inakuwa kubwa kwahiyo makusanyo serikalini yanaongezeka.

Sitaki kusema sana hasa kuhusu wale askari wanaozunguka usiku kudhibiti mabar yafungwe saa sita.
 
Naona unataka kula vya wenzako 24/7 :D:D
 
kwanza tunaomba kuruhusiwa kuuza masaa 24 kwani tunapokua na mauzo mengi TBL/SBL faida inakuwa kubwa kwahiyo makusanyo serikalini yanaongezeka.

Sitaki kusema sana hasa kuhusu wale askari wanaozunguka usiku kudhibiti mabar yafungwe saa sita.
Je nyie mnavyonyanyasa ma barmaid? Mshahara wa 70,000 ukivunja glass unakatwa. Ukiondoka na mteja unakatwa kana kwamba mwenye bar na anachukuliwa na mteja. Kaunta ni mke wa pili wa mwenye bar. Matron chakula ya meneja. Mlaaniwe wenye bar wote. Watoto wa watu wakitoka singida lazima muwaonje nyie kwanza kabla wateja hawajaonja. Mmelaaniwa washenzi nyie
 
ni wivu tu
 
Wasambaa huwa hatukeshi vilabuni! Ikifika saa tatu usiku huku milimani tunakoishi, vilabu vyote vinakua vimeshafungwa ili kesho tuwahi mashambani kulima ngogwe! Boha, denge, mnazi, kangaa, gongo, nk. hizo ndiyo pombe zetu. Wasambaa ni watu wa kazi.

Huku mjini ni tofauti na shamba
 
Je nyie mnavyonyanyasa ma barmaid? Mshahara wa 70,000 ukivunja glass unakatwa. Ukiondoka na mteja unakatwa kana kwamba mwenye bar na anachukuliwa na mteja. Kaunta ni mke wa pili wa mwenye bar. Matron chakula ya meneja. Mlaaniwe wenye bar wote. Watoto wa watu wakitoka singida lazima muwaonje nyie kwanza kabla wateja hawajaonja. Mmelaaniwa washenzi nyie

Barmaid anakuwa na amani sana akigongwa na bosi.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom