Azam ana Uislam gani unaousema, mbona kuna chaneli nyingi tu za kikristo! Hebu nenda kwenye other channels!Azam ndio anajichelewesha tu.
Ashushe bei za ving'amuzi vyake ziwe kama DSTV.
Kisha wengi tuamie kwake. Pia atambue kuwa sio kila mtu ni muislam
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa maudhui. Wewe ni mgeni hapa bongo? Au ndio kwanza umefunga DStv?
DStv ni maji MAREFU kwa watu wachache. Ukitata upate hizo tiivii za Temeke sijui Mburahati funga TING au Startimes.
Mkuu kumbe na wewe umeliona hilo. Huyu ni kama mtu aliyenunua Toyota juzi juzi, hajui kwamba kuna watu walikua na mabenzi tangu miaka hiyo lkn wako kimyaaaahSmartCard Number yake tu inatosha kuonesha kuwa ni mteja mpya huyu.
Naunga mkono hii comment yako mkuu.Kama haikufai kwanini uteseke tena pesa ni yako mwenyewe au unalazimishwa kuwa na dstv?
Dstv sio kwaajili ya watu wenye kipato cha chini-kimasikini!
Startimes pia ni kingamuzi mkuu
Hapo unajiona umeandika mwenyewe.Huu ujinga wanaoufanya hawa jamaa kwa kujiona wameshaliteka soko litakuja liwaponze muda si mrefu!
King'amuzi hakina channel za taarifa za habari za ndani kwa lugha ya kiswahili ukitoa TBC pekee!
Ni watanzania wangapi wanajua kiingereza hadi wakaangalie aljazeera or sky news?!
Kumpata mteja ni rahisi ila ukimpoteza kuja kumrudisha tena ndio shida!
Ni suala la muda tu waache waendelee kuzani hizo channel hazina impact kwao watakuja wastuke kumeshakucha!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ufafanuzi kidogo hapoHadi leo mnaangalia local chanels. Nunua waya wako wa kuunga cm na TV, ukitaka kuangalia kitu unanunua GB zako kadhaa unajiunga then unatazama kipindi kikiisha unawarudishia katuni au unachomeka external kwenye tv watoto wajisomee kupitia TV.
Mkuu saidia zaidi hapa maujanjaHadi leo mnaangalia local chanels. Nunua waya wako wa kuunga cm na TV, ukitaka kuangalia kitu unanunua GB zako kadhaa unajiunga then unatazama kipindi kikiisha unawarudishia katuni au unachomeka external kwenye tv watoto wajisomee kupitia TV.
Kwa jina lingine mdogo ake beberu😂😂Tatizo ni TCRA na Sheria zake.
Wameiweka DStv Tanzania 🇹🇿 kwenye category ambayo sio FREE TO AIR.
Kwa mantiki hiyo FREE TO AIR ni tv kwa ajili ya walalahoi, ukinunua DStv basi wewe ni kabaila
Hii suala la channels zingine, ni suala la kimaslahi nasikia .. unaweza kucheck thread ipo humu kitambo, ilifafanua hilo.Huu ujinga wanaoufanya hawa jamaa kwa kujiona wameshaliteka soko litakuja liwaponze muda si mrefu!
King'amuzi hakina channel za taarifa za habari za ndani kwa lugha ya kiswahili ukitoa TBC pekee!
Ni watanzania wangapi wanajua kiingereza hadi wakaangalie aljazeera or sky news?!
Kumpata mteja ni rahisi ila ukimpoteza kuja kumrudisha tena ndio shida!
Ni suala la muda tu waache waendelee kuzani hizo channel hazina impact kwao watakuja wastuke kumeshakucha!
Sent using Jamii Forums mobile app
TBC njooni mjitetee. Haiwezekani watu wengi kiasi hichi wawaone hamfai. Mbona hawaipondi ITV au DeceiverTV su hata Manzese media?Hakuna king'muzi bora kuliko DSTV,na miaka miaka 7 natumia hiki King'muzi na sijawahi waza kubadirisha....kwanza hii TBC wangeitoa kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja TBC haina hadhi ya kuwepo Dstv, iondolewe tu.Hakuna king'muzi bora kuliko DSTV,na miaka miaka 7 natumia hiki King'muzi na sijawahi waza kubadirisha....kwanza hii TBC wangeitoa kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
TBC ipo pale kisheria na hawawezi kuiondoa, ndio maana hata bando lako la mwezi likikata yenyewe ipo hewani tu. Huna sababu ya kutaka iondolewe as zipo channels nyingi ndani ya kisimbusi chako, angalia vile vinavyokupa elimu, habari na kukiburudisha.Naunga mkono hoja TBC haina hadhi ya kuwepo Dstv, iondolewe tu.
Sawa Mkuu nimekuelewa.TBC ipo pale kisheria na hawawezi kuiondoa, ndio maana hata bando lako la mwezi likikata yenyewe ipo hewani tu. Huna sababu ya kutaka iondolewe as zipo channels nyingi ndani ya kisimbusi chako, angalia vile vinavyokupa elimu, habari na kukiburudisha.
Hata mimi sipendi kuangalia TBC na sikumbuki lini ndani kwangu watu wali-tune TBC, ilà sioni sababu za kutaka kiondolewe, wapo wanaoangalia hicho usichokipenda.