Kilio changu kwa Airtel money Tanzania

rich1

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
2,967
3,189
Kwema ndugu,

Leo kilio changu nawapelekea kitengo cha airtel money,,,tunaomba muweke system ambayo itaweza kutofautisha namba ya mteja wa kawaida na namba ya wakala kabla kumuwekea mteja pesa kwenye simu yake ili kuepusha kelele ambazo sio za lazima.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Mnaotumiaga Airtel nawaonaga Kama binadamu wa zamani sana yani enzi zile za "ati weye ndo mfalme wa wayahudi..? Nae akajibu haswaaa mimi ndie!!"😂
 
Kuna wimbi kubwa la wateja wa kawaida kutupa namba za wakala wa airtel money bila kujua....tunaomba mlifanyie kazi n kero kubwa sana.
 
Back
Top Bottom