Kilio cha wanaume huko nje: Kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu!

Ila muangalia na marafiki waliowazunguka chagueni wisely ,kuna marafiki hawafai is anakuingiza motoni pasipo wewe kujua ,mimi nakumbuka nilikua na marafiki wanapenda sana story za madem ila hawataki kutulia kwenye mahusiano ,gambe sana Jumatatu mpaka Jumapili yani huwezi sikia akimuongelea Jesus OR Sir God,au kwenda kanisani wao ni kuwaza malaya tu nikawapunguza bila kuwaambia una wa , upande huu faida ni nyingi kataa mkumbo ni vyanzo vya kuzalisha hovyo,kuumiza hisia za watu
 

Kataa Ndoa

Ndoa Ni Utapeli

Ndoa Ni Wizi

Ndoa Ni Ujambazi

Kataa Ndoa
Kataaa wababaishaji kama wewe, Kataaa wapotoshaji kama wewe , epuka akili za kuambiwa tu kama hizi, kataa waongo kama mzee baba hapa, kataa matapeli wanaoneza ndoa haina sukari kama huyu mwamamba hapa
 
Ila muangalia na marafiki waliowazunguka chagueni wisely ,kuna marafiki hawafai is anakuingiza motoni pasipo wewe kujua ,mimi nakumbuka nilikua na marafiki wanapenda sana story za madem,gambe yani huwezi sikua akimuongelea Jesus OR Sir God nikawapunguza, upande huu faida ni nyingi kataa mkumbo
Kweli mkuu
 
Apatae jiko amepata vibali mbele za bwana sasa wewe pingana na maandiko ,ndoa ni ya kuheshimiwa na watu wote ,ukianza kuheshimu hili mengine ni nadra sana kutokea ,ndoa sio vita ni upendo tu ,ndoa ina thamani machoni mwa bwana Mungu , mtumie akili kuchagua nani wa kuishi nae mjipe muda kuitafakari kama mnataka ndoa au kulana tu muwe na goals shida mnachukulia ndoa kama fashion mnaingia kwenye ndoa na siri ni nyingi mmezificha
 
KATAA NDOA
Kuna siku/ifike pahala muwe mnatuelewa tunaposema NDOA NI UTUMWA,NDOA NI MATESO
Hapo ukienda hospital utaambiwa una
1.presha ya kupanda
2.presha ya kushuka
3.kiharusi
4.sonona
5.msongo wa mawazo
6.Vidonda vya tumbo
7.tumbo la kuharisha

hapo unaweza kumroga mtu,kuua,kukimbia familia,chuki,mizobezo,vibweka yaani kuna kitu kimekukaba mpaka hapaaa..kataa ndoa bado hujachelewa huyo muache aende..

KATAA NDOA,KATAA UTUMWA
Sawa mkuu
 
Mbambikie aliyekukataa, kwanini umbambikie aliyekuthamini katika wote waliokuumiza yeye akaona thamani yako, fikiri umelala na wanaume wangapi waliokuahidi kukuoa lakini walikuacha? Umetoa mimba ngapi za hao waliokudanganya na wakakuacha, lakini yeye akakupenda na kukuthamini na kuona unafaa kuwa mkewe Ili hali wengine walikuacha Kwa maneno ya kejeli, kwanini usimtunzie heshima yeye aliyekufadhili??

Ukitafakari utaona sio ok, umetoka nje ya ndoa, kwasababu umezoea za aina tofauti, basi jizuie usibebe mimba huko, bado haitoshi ukabeba huko basi kuwa mkweli Ili usimuumize mwenzio kah! Yaani Kuna mahali wanawake huwa mnakuwa wajinga, huyo ex alikuwa wako na kama alikuwa na nia angekuoa lakini hakukuoa alikufaidi tu huku wewe ukiingia hasara, katokea aliyekuona wa thamani eti unarudi kwa ex wako! Kah!
Baadhi yao hawanaga Akili kaka, Yani Ndo maana Kuna watu wanawafanyiaga ukatili japo sio sahihi, Ila Kwa Akili kamq Hizo imagine, Anaenda kumuumiza aliyempa heshima na Kumuhudumia
 
Mwanaume ni mwanaume tu iweje john au khamis
Hapana sio kweli, John amekulia mazingira tofauti ana tabia zake na misimamo take, na Khamisi amekulia mazingira tofauti na tabia zake kamwe hawawezi kuwa sawa
 
Ilaaa sijui kama kuna Maumivu kwa mwanaume kama Kulea mtoto ambae sio wako na Hujuii wala kuwa na wasiwasi ila Mkeo anajua wew ni boya tuu Inaumaa inaumaaa mnoo yani bora ut...mbewe utamuachaa ilaa sio kuishi miaka yote ukijua mtoto ni wako alafu Paap kama Niki unajua sio
 
Inaumiza, yaani inaumiza sana. Wanawake tutulie tu jamani. Dunian hakuna jipya. Mbona kila baya lina majuto, kwanini tusijifunze kupitia hilo?

Yaani mumeo anapambana na kuvuja jasho la meno lakini kumbe anaowapambania wamebakiza kumuua tu. Hatuwezi kushauriana eti tucheat kwa akili, tunashauriana tuache kabisa uasherati ndani ya ndoa.

Kulea mtoto si wako ni maumivu sana.
Waione Diamond na Hamisa kwenye faili.
 
Back
Top Bottom