Kilio cha ubovu wa barabara Wilaya ya Ubungo chapata ufumbuzi, barabara zenye urefu wa kilomita 111 kujengwa

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,112
Kilio cha ubovu wa barabara wilaya ya Ubungo chapata ufumbuzi, barabara zenye urefu wa kilomita 111 kujengwa.

1593596456072.png

1593596478728.png
 
Acha wajengewe, ni haki yao ya msingi since wanalipa kodi, cha ajabu kuna watu watajisifia as if wametoa pesa zao za mifukoni, damn it.
 
Ila bora na Makonda atembelee huku kwetu Goba mtaa wa Muungano,Kuna daraja na barabara ya Mtaa mkandarasi kakimbia site bila kumaliza ujenzi anasema manispaa hawajamlipa.

IMG_20200628_150516_8.jpg
huu ndio mradi wenyewe​
 
Tutashukuru Sana maana tumeteseka vya kutosha. Barabara ya Msumi mwisho Hadi Mbezi mwisho, Msakuzi ,Makabe Hadi Mbezi Mwisho na Mpiji Magoe Hadi Mbezi Mwisho na maeneo mengineyo wilaya ya ubungo Ni mtihani kwa kweli.
 
Anamwaga pesa au anasimamia pesa za wananchi?

Yaan kwa kua kila siku unakuta chakula cha bure mezani unakula hujui kilipotokea basi unafikiri watz wote tunaishi Kama wewe...zile ni pesa zetu mjomba liweke akilini hlo na sio kubugizwa matango pori eti pesa za magufuli!
Povu la Nini lote hili! Kwa kosa gani kubwa Hilo! Mchangiaji mbona yupo sawa tu! Ukiwa na utulivu wa akili utanuelewa tu!
 
Back
Top Bottom