Kilio cha polisi kuhusu posho kimesikilizwa???

3.jpg

4.jpg
 
Nimesoma nipashe ya leo imesomeka eti Mhe.Nahodha amesema Askari polisi wameongezewa posho kwa asilimia 100 o/o yaani toka Tsh.elfu 50 hadi laki 1.Mbona tangu mwanzo ilikuwa kilo,Askari wanaomba iwe laki 150 au kilo 2.Mbona serikali haiwajali hawa watu jamani?
 
Polisi wenyewe hawana urafiki kabisa na wananchi, wakiongezewa au wasiongezewe it doesnt help.
 
Mzalendo wa kweli siku zote hudai haki kwa ajili ya watu wote.Anaye wabagua Polisi si mzalendo na pengine ni mharifu.Tuwatetee pengine watatulinda ipasavyo.
 
Back
Top Bottom