Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Nimefuatilia huyo interahamwe ni mtupu sana kichwani hana fact yeyote zaidi ya chuki zake tu maisha yao magumu sana coz they hate what they can't defeat
Mbona povu wewe mrembo? Kwanini unatukana badala ya kujenga hoja?
 
Who are UN we muafrika?? Hivi si ndio UN walikiri sadam anasilaha za nyuklia alafu mwisho wa siku wakakiri walidanganya..... Si ndio hao hao walikubali uchaguzi wa kenya ulikuwa wa huru na haki na baadae ukaonekana una madudu ukafutwa.... Ila wakisema kuhusu watutsi ndio wanakuwa reliable source mbona mnajitoa ufaham hivi nyie watu weusi.... Who is UN wakati hao hao UN walitoa baraka Patrice lumumba kuchinjwa kma kuku leo ndio unawaoan ni watetezi wa ukweli???

Ukweli utabaki kuwa genocide iliua hutus more than tutsis na hata seniors wa RPF waliokimbilia exile wameshakiri kina katumba nyamwasa sasa nikusikilize wewe au nyamwasa aliyekuwepo kwenye field???

Narudia tena watutsi hawakuwa million 1 rwanda maana baada ya ndege kutunguliwa ID za watutsi rwanda zilikuwa laki 2 tu mpaka interehamwe wanaanza kuwasaka sasa hao laki 8 wengine waliokufa wametokea wapi??? Nijibu hilo tu mjadala uishe
Na nyie interahamwe mliochinja millions of innocent people ni mbwa na mnastahili kifo popote mlipo maisha yenu yataishia kulalamika tu mtandaoni but u'll never achieve anything
 
Ladies and gentlemen, this is what's going on!

I see flames!
 
Nimefuatilia huyo interahamwe ni mtupu sana kichwani hana fact yeyote zaidi ya chuki zake tu maisha yao magumu sana coz they hate what they can't defeat
Mie ni mtanzania wa huko mwisho wa reli na sijawahi kuwa mhutu ila nmeshasema nmepoteza jamaa kibao ndio maana nafuatilia hizi mada sasa wewe unayesema sina facts nimeshaleta facts hapa twende taratibu

1.kwamba Rwanda population ilikuwa less than 5 million kabla ya genocide kuanza maana wengine walishaanza kukimbia vita ya RPF kuvamia rwanda...

2. takwimu zinasema tutsi were 15% na hata The bold kahakiki hilo sasa najiuliza sasa 15% ya 5 million ni ngapi??

3. Tunapata almost laki 7 sasa jiulize kulikuwa na survivors zaidi ya laki 3 wa kitutsi baada ya vita.... Ina maana walikufa kati ya laki mbili hadi 4

4.jiulize sasa kma death toll ni million 1 je hao laki 6 ni kabila gani

Basi tufanye wote 15% walikufa ambao ni laki 7..... Ina maana walikufa wahutu laki 4 si ndio?? Maana total deaths ilikuwa 1,070,000 je hapo mnatumia basis gani kuita tutsi genocide ilihali kuna wahutu laki 4 wamekufa???

Je sasa hivi imekuwaje Tutsi bado wako zaidi ya million 1 nchini rwanda??? Wametokea wapi hao wa tutsi wanaoishi rwanda sahivi ambao kwa statistics hata za wikipedia tu au CIA factbook zinaonyesha wako zaidi ya million mmoja au kwa mawazo yako watu laki 1 mnaodai walisurvive wanaweza zaa million moja ndani ya miaka 20?? Ilihali wahutu growth yao ni ile ile 2.5% mpaka leo lakini watutsi eti population growth yao iwe 100% kila mwaka!!! Si ingekuwa rekodi ya dunia???

Funny
 
Thibitisha kuwa Rwanda had population of less than 5m, genocide against tutsi ilitokea 1994 japokua mlianza kuua mapema sasa utuambie hiyo 5m yako ni mwaka gani maana nyie interahamwe mnakuaga na record zenu pekee
 
Na nyie interahamwe mliochinja millions of innocent people ni mbwa na mnastahili kifo popote mlipo maisha yenu yataishia kulalamika tu mtandaoni but u'll never achieve anything
Mkuu hamuwezi kukimbia ukweli hata siku moja.... Mnaongelea tu genocide ya 1994 ila mnasahau wahutu waliokimbia vita mkawamalizia misituni huko huko uvira na mtutsi mwenzenu aliekuwa RPF kule ICTR alikiri mliua wahutu wengi sana congo wanaofikia million 1 kuanzia 1996 mpaka 2003 ila mnazuga eti vita ya kumuondoa kabila ndio iliwaua but lemme tell u ukweli utakuwa wazi cku moja..... Na justice will prevail afterall dunia tunapita tu ila kuna jehanamu ya moto wa milele huyo kagame wenu atajutia yote aliowafanyia wabantu

I rest my case
 
Mkiua kwa upanga mtakufa kwa upanga sasa ulitaka mlipokimbilia mapori ya Congo tuwaachie tu na huku mmeshaua ndugu zetu? kwa taarifa yako hatujamaliza tutawafuata popote mlipo ndani ya dunia hii, we are born rulers!
 
funguka funguka....maana swali kubwa ilikuwa who started the genocide and close it
 
Thibitisha kuwa Rwanda had population of less than 5m, genocide against tutsi ilitokea 1994 japokua mlianza kuua mapema sasa utuambie hiyo 5m yako ni mwaka gani maana nyie interahamwe mnakuaga na record zenu pekee
Mkuu usijitoe ufahamu mlikuwa mnatumia ID na makabila yalikuwa indicated..... Hivyo hizo data za ID ngapi zilikuwepo rwanda zinafika Million 5 nyenda pale National Institute of Statistics of Rwanda au website yao utakuta hiyo ripoti acha uvivu
 
funguka funguka....maana swali kubwa ilikuwa who started the genocide
Walioanzisha genocide ni interahamwe kwa usaidizi wa serikali ya kihutu kwa lengo la kuua watutsi wote kitu kilichopelekea watutsi kujipanga na kwenda kuokoa Ndugu zao hadi leo hao genocide perpetrators wanaishi mapolini wengine ndo hawa kina zito wanaishia kutoa povu mtandaoni
 
Mkiua kwa upanga mtakufa kwa upanga sasa ulitaka mlipokimbilia mapori ya Congo tuwaachie tu na huku mmeshaua ndugu zetu? kwa taarifa yako hatujamaliza tutawafuata popote mlipo ndani ya dunia hii, we are born rulers!
Hahahahahhaa finally umefunguka kumbe kweli mlichinja wahutu congo bado kagame tu kukirir hili mchezo uishe mkumbusheni mahakama ya ublegiji na hispania zinamsubiri akajibu hilo suala akitoka madarakani!!!

Mkuu vpi kuhusu Bayingana na kabanda walipenyeza watu rwanda kuchinja wahutu bila hata rwigyema au kagame kujua..... Kwanni mlianzisha genocide alafu mnaaminisha dunia nzima eti wahutu waliamka asbuhi na wakaanza kuwachinja nyie ilihali wengi wao walikuwa wana act on self defense baada ya nyie kuanza kuua wahutu kule cyangugu na bugesera!!
 
Attachments

  • rwanda-soldier-testimony-ICTR.jpg
    rwanda-soldier-testimony-ICTR.jpg
    58.7 KB · Views: 107
Mkuu usijitoe ufahamu mlikuwa mnatumia ID na makabila yalikuwa indicated..... Hivyo hizo data za ID ngapi zilikuwepo rwanda zinafika Million 5 nyenda pale National Institute of Statistics of Rwanda au website yao utakuta hiyo ripoti acha uvivu
Weka link sio kuleta blah blah... Kwani genocide ilitokea mwaka gani? Na kipindi hiyo population ilokua kiasi gani leta ushahidi sio data za kufikilika
 
Walioanzisha genocide ni interahamwe kwa usaidizi wa serikali ya kihutu kwa lengo la kuua watutsi wote kitu kilichopelekea watutsi kujipanga na kwenda kuokoa Ndugu zao hadi leo hao genocide perpetrators wanaishi mapolini wengine ndo hawa kina zito wanaishia kutoa povu mtandaoni
Walianza lini?? Hivi unakumbuka cockroach movement ??? Haikuanza genocide as early as 1970s na 1980s??? Vp RPF 1990 mlipoingiza majeshi rwanda mnajua mliua wahutu wangapi kabla rwigyema hajapasuliwa vitani??? Kwanni mnakimbilia 1994 kwenye climax mnasahau kuanzia genocide ya 1959....1972.... 1986!! Why mnakimbilia 1994 pekee kana kwamba miaka yote kabla ya hapo hamkuwa mmeanza genocide au mnafkiri wote hatujui historia ya kanchi kenu hako
 
Hahahahahhaa finally umefunguka kumbe kweli mlichinja wahutu congo bado kagame tu kukirir hili mchezo uishe mkumbusheni mahakama ya ublegiji na hispania zinamsubiri akajibu hilo suala akitoka madarakani!!!

Mkuu vpi kuhusu Bayingana na kabanda walipenyeza watu rwanda kuchinja wahutu bila hata rwigyema au kagame kujua..... Kwanni mlianzisha genocide alafu mnaaminisha dunia nzima eti wahutu waliamka asbuhi na wakaanza kuwachinja nyie ilihali wengi wao walikuwa wana act on self defense baada ya nyie kuanza kuua wahutu kule cyangugu na bugesera!!
Huko Belgium ndio Rwanda? Kwanini msirudi kujenga nchi kuliko kupeana false hope mtandaoni? Kwani during genocide hao wabelgiji walikua wapi?
 
Weka link sio kuleta blah blah... Kwani genocide ilitokea mwaka gani? Na kipindi hiyo population ilokua kiasi gani leta ushahidi sio data za kufikilika
Si nmekwambia uende website ya national institute of statistics rwanda au hilo nalo gumu kwako!!!
 
Walianza lini?? Hivi unakumbuka cockroach movement ??? Haikuanza genocide as early as 1970s na 1980s??? Vp RPF 1990 mlipoingiza majeshi rwanda mnajua mliua wahutu wangapi kabla rwigyema hajapasuliwa vitani??? Kwanni mnakimbilia 1994 kwenye climax mnasahau kuanzia genocide ya 1959....1972.... 1986!! Why mnakimbilia 1994 pekee kana kwamba miaka yote kabla ya hapo hamkuwa mmeanza genocide au mnafkiri wote hatujui historia ya kanchi kenu hako
Jibu swali genocide ilianza lini hadi lini? Kwanini mliamua kukimbia nchi kama mlikua innocent?
 
Walioanzisha genocide ni interahamwe kwa usaidizi wa serikali ya kihutu kwa lengo la kuua watutsi wote kitu kilichopelekea watutsi kujipanga na kwenda kuokoa Ndugu zao hadi leo hao genocide perpetrators wanaishi mapolini wengine ndo hawa kina zito wanaishia kutoa povu mtandaoni
..But you were born ruler ain't you.. nani kakupa hayo mamlaka and let me know if I don't take it what do you do to me...Extinction isn't it ..kwa hiyo tangu mwaka 1990 mpaka 1994 Kampala to Kigali mlikuwa mnauwa mbwa?
 
Back
Top Bottom