Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Jf huwezi choka aise nikigeuka iv kilimo cha mifereji tena nikigeuka iv forex tena iv anga la washenzi by stev a.k.a jona nikiangalia iv magari ya nauzwa bai yakufikirika aise Jf ni balaa

Daah mkuu itakua wewe ni msomi sana.Umekaa kiprofesa profesa yani.Cheki maandishi yako
 
Simulizi hizi ni kutufanya tusahau mambo ya rwanda ...as if rwanda ya miaka ya miaka ya 90 ni Yeriko ati ilipinduliwa kwa nyimbo tu...ati wahutu waliratibu wauaji ya kimbali...now why 94 na sio 86....anyway kuna dots naziunganisha hapa..huyu mleta maada anajua tangu Tz tumemtoa Amin Uganda...Uganda ilipitia vipindi tofauti vya mapinduzi mpaka nyandwi wa nkole district akashika nchi 86 nkole district bila shaka ndo ilihost wakimbizi toka Rwanda....89-90 ya Rwanda yakaibuka tokea Uganda ndo hayo yakimbali..mara paa kwa mobuto wakalianzisha tokea rwand, Uganda Kabila mtoto ndo rais..anyway tunashukuru hata kwa zawadi ya ng'ombe toka Uganda kwa familia flani hivi..kimsingi mambo ya Rwanda hatuhitaji kumtafuta mchawi usiku ...binafsi naona bado kuna moto unawaka mara hii mioyoni mwa wanyarwanda waliopoteza ndugu zao 89-97... ukisikiliza nyimbo zao utajua na maana gani...anyway mahakama za Belgium na Spain zinamsubiri mtu flani hivi anyooshe maelezo.
 
Simulizi hizi ni kutufanya tusahau mambo ya rwanda ...as if rwanda ya miaka ya miaka ya 90 ni Yeriko ati ilipinduliwa kwa nyimbo tu...ati wahutu waliratibu wauaji ya kimbali...now why 94 na sio 86....anyway kuna dots naziunganisha hapa..huyu mleta maada anajua tangu Tz tumemtoa Amin Uganda...Uganda ilipitia vipindi tofauti vya mapinduzi mpaka nyandwi wa nkole district akashika nchi 86 nkole district bila shaka ndo ilihost wakimbizi toka Rwanda....89-90 ya Rwanda yakaibuka tokea Uganda ndo hayo yakimbali..mara paa kwa mobuto wakalianzisha tokea rwand, Uganda Kabila mtoto ndo rais..anyway tunashukuru hata kwa zawadi ya ng'ombe toka Uganda kwa familia flani hivi..kimsingi mambo ya Rwanda hatuhitaji kumtafuta mchawi usiku ...binafsi naona bado kuna moto unawaka mara hii mioyoni mwa wanyarwanda waliopoteza ndugu zao 89-97... ukisi kiliza nyimbo zao utajua na maana gani...anyway mahakama za Belgium na Spain zinamsubiri mtu flani hivi anyooshe maelezo.
We kn kitu unakiona,umekiona,nami nakiona
 
Nifah Divine... glory to yhwh BansenBurner Alisen Papushikashi Magazine Fire miss chagga SANCTUS ANACLETUS mngony Excel Mussolin5 Jimena Inferiority Complex gwijimimi wambura marwa Hoshea shareef conscious wambeke The Boss Deejay nasmile gkileo Juma chief Mangi flani hivi Ngongo makaveli10 KENZY kadada wa pili Root aretasludovick jonnie_vincy Clkey KAFA.cOm mbewe makedonia Afande Nyati peterchoka Leonard Robert Nchi Kavu STUNTER Chrizo jully Van persie Khalidoun Tetramelyz punje haradari Mazigazi @Alybaba babu na mjukuu platozoom jimmyfoxxgongo Nicodemas Tambo Mwikozi Ls man Heaven Sent sifongo Infantry Soldier haa mym 20acres MTS MarkHilary compos Tembo2 Erick the future nancy1983 Bulah binsaad Fazzaly the wolf everhurt Melvine Mgibeon kijana wa leo samsun Coolant Jagood pacesetter apologize payton George Betram kisengeli Kiranga Jiwe Linaloishi Madame B jay john Guasa Amboni Dinazarde Analyse Diva Beyonce snowhite Mmanu Expected Value onechromosome Missy rose Innocenthezron Immortal_MH Ficus sunola Robot la Matope mamaafacebook II JEKI likikima Compact scorpio me G'taxi YNWA adna yuzo ntamaholo Otorong'ong'o naan ngik-kundie kandukamo1 AFRICA101 mwalidebe Kobe Blaki Womani kalendi savius The Great Emanuel r2ga Ntaluke.N. Transcend Msemachochote Mchumiajuone mwampepec MTOTO WA KUKU Fukara proto cute kawombe zinginary MLALUKO JR Vupu barafu BlackPanther Ntuzu Matola impongo ntamaholo Mkoroshokigoli Deadbody KING easy mahoza Msolo kkenzki deborah1 KIDUDU buffalo44 winlicious riziki Allys MUHUNZI Moses2015 nacktary Liuumi dochivele Renzo @barbers hmjamii mbere TATIANA famicho LUCKDUBE mwanadome Straton memphis ghazar Graph Theory Honey Faith Shunie Slave ddcmanesto zinginary pacesetter Nkanaga KOMUGISHA mikatabafeki johnsonmgaya lee empire wigo MJINI CHAI Asprin mtzmweusi Erasto kalinga Chrizo kichakaa man LULU bike FORTALEZA poleni shibumi ZE DONE umande Edger Sr sir joshua sammoo Roram Password Bavaria hambiliki mwanangu Asili100 Evarist Massawe nice1 Jumong S Rogie 1babake nasreen uberito baest dustless Kilemachocho Tumosa mtembea kwa miguu Debbs Joe scorpnose musacha shibumi seeker of knowledge Simuchi Veni Vidi Vici TUJITEGEMEE abuu garcia Hon Nkundwe Festo Festo marion09 mike2k The dream bro kay vandelintz kirikou1 POINT LOAD lusaka city Dirham Rodcones bato MANCNOO multiphill90 GEORGE Dalali mwanamalundi90 MwaFreeca Roram Ta-kibombo troublemaker mambo KOMUGISHA calabocatz Papaa Azonto Msemachochote Mdomo bakuli tizo1 option dikembe iL Buono fakalava ABDUL KAREEM @Gobe Justine Marack Goodluck Mchika MR UNINFORMED darcity nkasoukumu nG'aMBu thatonegAl kabanga MPARE KIBOGOYO Edward Sambai Rassa mnonje srinavas last king of uscoch proto cute Kennedy krava Rais2020 kbosho Mzee wa BsN sam2000 fuma 999 Bableee dawa yenu The Certified DON SINYORI mij adden


bwii ONTARIO Kobe The Vein Mondray jaxonjaxon successor mzee wa liver sawariya Sitaki ukuda Domhome Mpatanishi MKANDAHARI mtugani wa wapi huyo wealthier cluecell Toyota escudo mgumu2 troublemaker Linamo shedede kamtu33 SteveMollel ngushi Donald stewart Mshuza2 Glycel mnonje Ochuanilove SingleFather Santi DEOD 360 ngushi anatory antony ukhuty chris van chicha auxillius Goma Son Hubeb pes KING DUBU VILLAIN mwayena donbeny Aleppo JipuKubwa shoo61 BOMBAY John mungo Nyakageni bato Dogo 1 sufra chamlungu painscott wegman Bravo Engliash MOSELBAY wa stendi FaizaFoxy bigmind cadabraa Internal Kelvin mwalukas mnonje Kelvin X Somoche Wgr30 Miiku Poise Jabman kalamuyamwalimu BOMBAY the say juxhb witnessj Gide MK Mmanyema mgogoone Mnongane Mandingo koncho77 afsa ngaboru Paradoxer Heavy Metal KIMBURU 06 Raaj kichekoh ngumba njeche kikale DullahTza Goodluck Mshana julius Darcy Denis Kasekenya mashonga kitalembwa Khaleed Shaban middle east SirChief jiwe jeusi Mkambarani mansakankanmusa gambada ynwa ney kush[/USER
Uko vizuri historia nzuri ya makabila haya mawili haitofautiani na historia niliyowahi kusikia naomba niunge kwenye group lako la watsap kwa historia zaidi,

Maana inasemekana hata chakula wahutu walikula masazo ya watusi, kiukweli watusi walijiweka kwenye daraja la juu sana.
 
Katika Story yote nimeguswa na hapa tu sababu it sounds familiar

" Baada tu ya kuingia madarakani Habyarimana alivifuta vyama vyote vya siasa nchini humo akieleza kuwa hataki Rwanda iendekeze majibishano ya kisiasa kila siku badala ya “kuchapa kazi” na mara nyingine akituhumu vyama vya siasa kutumika na maadui wa Rwanda ili kuvuruga taifa. Mwanzoni wananchi karibia wote waliunga mkonmo msimamo wake huu. Lakini ajabu ni kwamba mwaka uliofuata baada ya kuingia madarakani, yaani mwaka 1975 Rais Juvenal Habyarimana aliunda chama chake cha siasa ambacho alikiita Mouvement Revolutionnaire National pour le Developpement (MRND) na kutangaza kwamba hicho ndicho kitakuwa chama pekee cha siasa nchin Rwanda."

 
Katika Story yote nimeguswa na hapa tu sababu it sounds familiar

" Baada tu ya kuingia madarakani Habyarimana alivifuta vyama vyote vya siasa nchini humo akieleza kuwa hataki Rwanda iendekeze majibishano ya kisiasa kila siku badala ya “kuchapa kazi” na mara nyingine akituhumu vyama vya siasa kutumika na maadui wa Rwanda ili kuvuruga taifa. Mwanzoni wananchi karibia wote waliunga mkonmo msimamo wake huu. Lakini ajabu ni kwamba mwaka uliofuata baada ya kuingia madarakani, yaani mwaka 1975 Rais Juvenal Habyarimana aliunda chama chake cha siasa ambacho alikiita Mouvement Revolutionnaire National pour le Developpement (MRND) na kutangaza kwamba hicho ndicho kitakuwa chama pekee cha siasa nchin Rwanda."

Hope Umeona hii style inaigwa na kiongozi mmoja wa East Africa.

Ni hatari sana, ati siasa hadi kipindi cha uchaguzi tu!
 
Maziwa makuu kuna siri nyingi sana nyengie za kufurahisha na nyengine za kuogofya sana. Hapa tunahitaji wale ambao wanaishi katika miji ya Rwanda, Burundi na Uganda au ambao wanatembelea mara kwa mara waje hapa watoe ushuhuda wa jinsi mambo yalivyo kwa sasa. Mkuu The bold umetoa elimu kubwa tafadhali uje uendelee.
 
Back
Top Bottom