Kilio cha kukosa huduma ya TANESCO kwa wananchi kitaisha lini?

Bora hata Tanesco kuna hawa watu idara ya maji wao muda wote wamelala na nyumba zinazidi kuongezeka na hawaoneshi dalili zozote za kupanua huduma yao hasa hawa wa Mwanza ( mwawasa)
TANESCO nikilio kikubwa kwa hapa Tanzania
 
Mimi TANESCO sina hamu nao kabisa. Too much talks bila vitendo. Mimi nimehangaika nao toka mwaka jana December hadi leo sijapata umeme. Nilipeleka maombi maalumu kwa maana umeme ninauhitaji kwa sababu urgent sana ila hadi sasa bado wanazungusha tu. Hii nchi hii, basi tu. Tunalo tatizo sana kama taifa. Hatujui nini tunataka na wapi tunaenda. Mungu atusaidie kwakweli!
 
Kila Mahali wananchi wanaendelea kulia bila Msaada wa viongozi kuhusu kukoswa huduma ya Tanesco kama.

1) kukoswa huduma ya surveyor

2) zaidi ya wananchi 210,000/=walio lipia huduma ya kuunganishiwa umeme , Hawajaunganishiwa kwa sababu ya upungufu wa meter,nyaya na watu wakuunganisha umeme.

3) Matatizo ya Luku.

4) Umeme Kukatika.

Hali Hii inakua kwa kasi sana Huku viongozi wa nchi wako kimya.

Je, hili tatizo litaisha lini?
Zaidi ya wananchi 210,000/=! Hapo ndipo umeniacha hoi kuwathamanisha watu na pesa!
 
Kila Mahali wananchi wanaendelea kulia bila Msaada wa viongozi kuhusu kukoswa huduma ya Tanesco kama.

1) kukoswa huduma ya surveyor

2) zaidi ya wananchi 210,000walio lipia huduma ya kuunganishiwa umeme , Hawajaunganishiwa kwa sababu ya upungufu wa meter,nyaya na watu wakuunganisha umeme.

3) Matatizo ya Luku.

4) Umeme Kukatika.

Hali Hii inakua kwa kasi sana Huku viongozi wa nchi wako kimya.

Je, hili tatizo litaisha lini?
 
Back
Top Bottom