Kilinge kilipata shambulio... nikaunganisha na likizo

Ligogoma

JF-Expert Member
Aug 27, 2010
3,313
2,000
Nawasalimu katika Kristo Yesu aliye hai.

Na kwa wale ambao si wa imani hii nawasalimu katika imani zao... Lililo kubwa ni upendo kujali na tafakuri

Nilipotea barazani kwetu hapa, kuna coincidence ilitokea
Mipango ilikuwa nichukue likizo baada ya kipindi cha kampeni na uchaguzi kwisha, maana kwa hakika kwa upande wetu tulikuwa busy na tulijitoa kwa hali na mali kuhakikisha tunakuwa na mtazamo mpya...!!!!

Usiku wa kuamkia October 29 kilinge kikapata shambulio kubwa la kimwili hardware yote ikateketea kwisha kabisa lakini software ikasalimika kwa asilimia 100

Kipindi cha kampeni nikapata marafiki nyoka wanafiki wengi sana waliodhani wanamfahamu Jr kuliko wanavyojifahamu wenyewe.

Waliojifanya wana mapenzi mema nami kuliko familia zao na michepuko yao, waliojifanya ni washauri wema sana kuliko wale wanaowatumikia kule walikotumwa.

Wachumia tumbo hawa...MUNGU AWAREHEMU SANA..Kuna siku kutapambuzuka hata usiku uwe mrefu kiasi gani....!!!

Nimerejea JF tena ...nilikuwa likizo ...Familia yetu ya JF nje ya JF tulikuwa na mawasiliano ya karibu na tukapashana yanayotokea duniani kila sekunde

Haters na wanafique wako popote TUNAWAHITAJI KAMA KIOO CHETU...Lakini kwa bahati mbaya sana..wanaishi dunia ya miji bila majumba ...barabara bila magari....misitu bila watu...
Wanajaribu sana kutuonesha wafu wakati makaburi tunajua yalipo na wanatuonesha vitabu wakati kurasa tunazifunua sisi....!!!

Mwenda tozi na omo.....!?

NIMEREJEA...!!!

Pole sana mkuu, hiyo ndiyo maana halisi ya maisha! Hayapiti kwenye lami siku zote!

Kikubwa uzima, kama u mzima tushukuru Mungu na hayo mengine tunayabadilisha jina na kuyaita changamoto!! Yametufunza na kutufanya imara zaidi.

Karibu tena
 

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
11,501
2,000
ha ha ha safi sana shida mtu ukipotea sana JF hasa kwa wale ma gwiji akili za kibinadamu hutafakari mengi mno mpaka kutoka nje ya barabara
 

am 4 real

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
388
1,000
Welcome home.... Mshana Jr

ndege JOHN

Alianzisha mpaka uzi kuulizia ukimya wako....

Kuna nazalia nyingi Sana zilitawala
#bring back mshana jr
& So & so....

Wapo walio sema ulipoteza simu ndio maana ukawa kimya....

Wapo walio pinga wakasema mshana hata akipoteza simu
hawezi shindwa nunua simu ingine.....

We are happy umerud nyumbani Salama.....

Tulikumiss sanaa tumefurahi Sana....
Karibu nyumbani Mshana Jr ..... we miss you so much.
 

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
152,401
2,000
Pole sana mkuu, hiyo ndiyo maana halisi ya maisha! Hayapiti kwenye lami siku zote!

Kikubwa uzima, kama u mzima tushukuru Mungu na hayo mengine tunayabadilisha jina na kuyaita changamoto!! Yametufunza na kutufanya imara zaidi.

Karibu tena
sahihi kabisa
 

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
152,401
2,000
Welcome home.... Mshana Jr

ndege JOHN

Alianzisha mpaka uzi kuulizia ukimya wako....

Kuna nazalia nyingi Sana zilitawala
#bring back mshana jr
& So & so....

Wapo walio sema ulipoteza simu ndio maana ukawa kimya....

Wapo walio pinga wakasema mshana hata akipoteza simu
hawezi shindwa nunua simu ingine.....

We are happy umerud nyumbani Salama.....

Tulikumiss sanaa tumefurahi Sana....
Karibu nyumbani Mshana Jr ..... we miss you so much.
Thanks sana sana...speculations zilikuwa nyingi mno zikiwemo za kupigwa kipapai
 

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
152,401
2,000
Kuna maada yako flani imenipotea naomba link yake ila inahusu mambo ya sisi vijana kuyazingatia before 30...KILa nikiitafuta siipati nisaidie
 

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
8,499
2,000
Asante Sana brother nimeitafuta mno hii maada dah Asante asee
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom