Kilindi yapata basi la abiria lenye Dishi la Azam

Nguva Jike

JF-Expert Member
Jan 22, 2018
1,121
1,541
Habari za jioni.

Nasikia tetesi Kilindi imefanikiwa kuwa na basi la abiria lenye Dishi la Azam ambalo abiria wanapata fursa ya kuangalia kandanda wakiwa safarini.

Kama habari hii ni ya kweli Kilindi Tanga itakuwa imepiga hatua katika tasnia ya usafirishaji. Nasikia basi hilo geni linamilikiwa na tajiri mmoja wa Morogoro.

Tupeane updates lakini pia naomba kujuzwa mtambo huo unafanyaje kazi vipi kuhusu friguence mambo ya horizontal na polarization yanafanikiwaje katika barabara zenye mitikisiko na kuyumba yumba?
 
Habari za jioni.

Nasikia tetesi Kilindi imefanikiwa kuwa na basi la abiria lenye Dishi la Azam ambalo abiria wanapata fursa ya kuangalia kandanda wakiwa safarini.

Kama habari hii ni ya kweli Kilindi Tanga itakuwa imepiga hatua katika tasnia ya usafirishaji.Nasikia basi hilo geni linamilikiwa na tajiri mmoja wa Morogoro.

Huwezi kuwa na 100% access ya tv kwenye bus nchi hii. Labda play back.
 
Tunaweza kutumia mfano wa haya magari madogo ya binafsi yenye TV. Ni dhahiri matangazo hayawezi kuwa smooth muda wote kama bus liko kwenye mwendo na linapita kwenye vilima, mabonde na kila aina ya vikwazo. Haya ni maoni yangu na sina utaalam au experince kwenye ma-bus yenye hayo ma-dish
 
Ila hii nchi kuna haja ya kufanya tafiti juu ya uelewa wa watu. Hivi kweli mtu anaanzisha uzi et tumepata basi lenye king'amuzi

Dah
Uelewa huo unaanza na wewe kwasababu umeshindwa kuelewa hata lengo na wazo la mleta uzi na pengine mwenzetu huko ulipo mna ndege za wilaya ndo mana unashangaa huu uzi job true true.
 
Habari za jioni.

Nasikia tetesi Kilindi imefanikiwa kuwa na basi la abiria lenye Dishi la Azam ambalo abiria wanapata fursa ya kuangalia kandanda wakiwa safarini.

Kama habari hii ni ya kweli Kilindi Tanga itakuwa imepiga hatua katika tasnia ya usafirishaji.Nasikia basi hilo geni linamilikiwa na tajiri mmoja wa Morogoro.

Tupeane updates lakini pia naomba kujuzwa mtambo huo unafanyaje kazi vipi kuhusu friguence mambo ya horizontal na polarization yanafanikiwaje katika barabara zenye mitikisiko na kuyumba yumba?
Lipia pesa ya tangazo
 
Hauna jipya mbona yapo mengi
 
Back
Top Bottom