Kifahamu kilimo cha maua

Kwa Mujibu wa RELIEVED.CO na GARDEN DESIGN. mengine maelezo yanakuja badae

1. Oleander
Ukila haya majani unaweza ukafa au kuumwa sana, yanaweza yakasababisha ugonjwa wa moyo kama arrhythmia kwa kuvuta sana harufu yake, unaweza ukatapika au kupata homa kali sana huwa mara nyingi watoto wakiyachezea huwa inawadhuru pamoja na kuwa mara nyingine inachukua muda kidogo kuona inavyodhuru mwilini kwa watoto, wakubwa na wanyama.
Oleander.jpg


2. English Ivy
inaweza ikasababisha muwasho mwilili, hata kujisikia kama unaumwa matezi, husababisha homa, na umfanya mnyama aharishe, kutapika, kuwa mdhaifu na kumfanya apumue kwa shida sana.

ivy.jpg


3. Caladium
kuvuta hewa yake huweza kusababisha kupata tatizo la kupumua na kupiga chafya sana

caladium.jpg
caladium.jpg
caladium.jpg



LILIES.jpg




POTHOS.jpg



PHILODENDRON.jpg



ARROWHEAD PLANT.jpg



Mother in Law tongue.jpg
 
Back
Top Bottom