Hamisi kiogwe
Member
- Jul 19, 2015
- 31
- 3
Morogoro
morogoro sehemu gani mkuu?Habari.
Unafahamu kuwa mushrooms zinaleta faida kwa anayelima? Ktk eneo la 10 x 10 unaweza tengeneza sh mil 14 kwa mwezi mmoja?
Sisi tunafanya hicho kilimo huku Morogoro na tunawafundisha watu wa huku ambao tunawaalika kwenye semina katika shamba letu kwa kiingilio cha sh. 60,000.
Kwa ambao wako mbali na moro tutaandaa semina wakati mwingine.
Kilimo cha kisasa cha mushrooms hakihitaji eneo kubwa na wala mtaji mkubwa. Huhitaji hata kuwa na mfanyakazi ila unaweza fanya mwenyewe
Kwa mawasiliano 0758 308193