Kilimo cha Bamia: Fahamu kuhusu mbegu bora, mazingira sahihi ya kulima, magonjwa na namna ya kuyakabili

Tuma pic ya aina ya mbegu uliyo panda mkuu yaani lile box lake maana kuna mbegu za aina nyingi
sijanunua mbegu za box, nilichukua mbegu kwenye shamba la mtu , mbamia unazaamara nyingi mpaka inakua kama mti.
 
sijanunua mbegu za box, nilichukua mbegu kwenye shamba la mtu , mbamia unazaamara nyingi mpaka inakua kama mti.

Mkuu Hornet, heshima kako. Mtu anaetaka kulima mboga mboga, au bamia pekee, waweza mpa ushauri gani wa muhimu kuzingatia? ni biginner kwenye hii bizness. Maeneo ya mbagala ndo anataka kulima.

-Kaveli-
 
sijanunua mbegu za box, nilichukua mbegu kwenye shamba la mtu , mbamia unazaamara nyingi mpaka inakua kama mti.
Red royol wanazo mbegu ambazo sio f1 kopo linaanzia elfu tano gram 100. Na malikia wanazo mbegu f1 kopo elfu kumi na tano gram 50. Kanunue kisha ukapande utaona matunda yake.
 
Red royol wanazo mbegu ambazo sio f1 kopo linaanzia elfu tano gram 100. Na malikia wanazo mbegu f1 kopo elfu kumi na tano gram 50. Kanunue kisha ukapande utaona matunda yake.
Mkuu ekari moja gramu ngapi zinatosha?na f1 ipi ni nzuri zaidi kwa soko la dar
 
Mkuu Hornet, heshima kako. Mtu anaetaka kulima mboga mboga, au bamia pekee, waweza mpa ushauri gani wa muhimu kuzingatia? ni biginner kwenye hii bizness. Maeneo ya mbagala ndo anataka kulima.

-Kaveli-
Angalia bamia ambayo inafaa kuchumwa muda mrefu,
pia mbogamboga angalia zinazochukua muda mfupi na zinazochumika zaidi ya mara moja,
mfano pilipili zote, nyanya, na mboga za majani.
 
Red royol wanazo mbegu ambazo sio f1 kopo linaanzia elfu tano gram 100. Na malikia wanazo mbegu f1 kopo elfu kumi na tano gram 50. Kanunue kisha ukapande utaona matunda yake.
Mkuu heka moja inatoa bamia gunia ngapi?
 
Wapendwa ndugu zangu, salaamu kwenu.

Naombeni msaada wa mawazo na uzoefu wenu kuhusu kilimo cha Bamia.

a) Ni mbegu aina gani iliyo bora? na nikanunue wapi penye mbegu origino?

b) Kuhusu spacing ya kupandia... wanasema ni sentimita 30 shimo kwa shimo, sentimita 60 msitari kwa msitari. Je kuna madhara gani kama nisipozingatia iyo spacing? i.e nichimbe mashimo ya karibu karibu zaidi.

c) Kuhusu magonjwa... kuanzia kupanda/kuotesha mpaka mavuno, je nitumie dawa/sumu zipi kuzuia/kukinga (prevention) mmea usipatwe kabisa na ugonjwa wowote?

d) Kuhusu mbolea... ya kienyeji (ya kuku) ama za kisasa, nitumie mbolea ipi? na kwanini?

e) Je, nifanye mbinu zipi au nifanye mambo gani ili Bamia izae sana (maua kwa wingi) na nivune kwa muda mrefu (mmea usizeeke mapema) ?

N.B: Eneo la kulima lipo Dar.

Natanguliza shukrani za dhati. Mungu awabariki.
 
Back
Top Bottom