Kilimo/mbegu za Mahindi na Kahawa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilimo/mbegu za Mahindi na Kahawa

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by kanyagio, Dec 23, 2010.

 1. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2010
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 980
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Ndugu wanajamii,
  nimekutana na jamaa mmoja mwenyeji wa huko Bukoba- katika kupiga story kaeleza jinsi anavyolima huko BUKOBA na ambavyo hapati mazao ya kutosha kutokana na kilimo cha maharage na mahindi.. alibainisha kwamba katika ekari kumi alizonazo anavuma magunia 3 mpaka 4 ya maharage. na kama ni mahindi basi anapata magunia saba..

  katika soma soma zangu hapa JF niliwahi sikia kwamba kwenye ekari moja unaweza kupata hata gunia 5-10 za maharage na zaidi ya 10 za mahindi. sasa hapo utaona kwamba mazao anayopata kwenye ekari 10 mtu mwingine anayapata katika ekari moja.

  kwa kuwa mimi sina utaalamu sana wa kilimo cha maharage na mahindi, naomba kuuliza na kupatiwa majibu katika yafuatayo:

  1. Je Mbegu gani nzuri za mahindi na Maharage .. Na je zinapatikana wapi -- naomba kupata jibu specific ya aina pamoja na zinapopatikana
  2. Ninajua Maharage yapo ya aina nyingi... Je aina ipi inatoa mazao mengi? upatikanaji wake upoje?
  3. Je unapolima maharage na mahindi , Je unatakiwa upande umbali gani kati ya shimo moja na jingine (i.e je kuna kipimo maalum?)
  4. Je ukubwa wa shimo unatakiwa uweje
  5. Je ni lazima kuweka mbolea katika kila shimo kabla kupanda-- kama ni ndiyo je uweke samadi kiasi gani.
  6. Je ni wakati gani wa kupanda yaani Je ni kabla ya mvua kuanza, katikati ya msimu wa mvua au mwisho wa msimu wa mvua? nauliza hivyo nikiwa na mawazo ya kuhakikisha mvua haiharibu maua ya harage/hindi yatakayotoa mazao.
  inawezekana mtu asiwe na majibu ya maswali yote ila nitashukuru hata ukijibu angalau moja unalolijua.

  thanks
   
 2. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Naamini hili litakuwa darasa kwa wengi wetu; wenye data tafadhali.
   
 3. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2010
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 980
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  jamani wanandugu nakumbushia tena, mwenye some information katika issues za hapo juu naomba msaada tutani!!
   
 4. Mutensa

  Mutensa JF-Expert Member

  #4
  Dec 26, 2010
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 426
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hebu jaribu....

  *
  Tanzania Seed Company Ltd. / Tanseed International Ltd.
  Tanzania Seed Company Ltd.
  Tanseed International Ltd.
  PO Box 140
  Njombe
  Tanzania
  E-mail:*tanseed@yahoo.com *
  Tel: +255 26 278 2354
  Fax: +*

  Sina details zao zaidi lakini nimewapata kwenye internet website.
   
 5. M

  Malila JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,262
  Likes Received: 452
  Trophy Points: 180
  Nina dogo langu moja pale SKU yaani shirika la kilimo Uyole Mbeya, nitawasiliana nalo litupe midata yote kuhusu maharage. data zangu ziko chini sana, si vizuri kushusha upupu wakati ukweli upo.
   
 6. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 980
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Malila, dogo wa Uyole ulimpata?
   
 7. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Msimu wa kupanda mahindi umewadia; vipi kuna anayefahamu mbegu bora za mahindi zinapatikana wapi.
   
 8. M

  Malila JF-Expert Member

  #8
  Jan 21, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,262
  Likes Received: 452
  Trophy Points: 180
  Ndio nimepata simu yake leo usiku, nitampigia ili anipe ya muhimu juu ya hili jambo.
   
 9. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #9
  Jan 23, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wadau, naamini ili upate mazao bora na mengi uchaguzi wa mbegu bora ni kigezo kimojawapo. Kuna anayefahamu mbegu bora za mahindi; anifahamishe?
   
 10. M

  Malila JF-Expert Member

  #10
  Jan 23, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,262
  Likes Received: 452
  Trophy Points: 180
  Mbegu za mahindi hutofautiana kutokana na altitude ya eneo husika, na ndio maana unaweza ona mbegu hiyo inafaa Njombe na isifae Dodoma, hebu twanga simu hii 0765504765, hapa utampata jamaa wa SKU, naamini atakupa msaada kidogo juu ya mbegu za kilimo au atakupa pa kuanzia mkuu.
   
 11. n

  nyambiJr New Member

  #11
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaribu kuangalia website ya wizara ya kilimo wanatoaga publications za mazao mbalimbali
   
 12. Mutensa

  Mutensa JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2014
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 426
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Wakubwa maswali ya Kanyagio hayakupewa majibu. Hata hivyo, wakati nilipotembelea nane nane mwaka jana, nilijifunza kuwa Tanseed International wana mbegu ya mahindi inaitwa TAN H600 ambayo wali"showcase" kuwa inaweza kutoa magunia zaidi ya 20 kwa hekari. Kwa bahati mbaya sana nimepoteza vipeperushi ambavyo jamaa walinipa.
  Niseme ukweli, ufanyaji biashara wa Tanzania bado ni wa shida kwa sababu nimejaribu kuwatafuta kwenye internet nikakuta namba zao ambazo hazipokelewi. Kama kuna mwenye kujua branch/wakala wa tanseed hapa Dar naomba anijuze nimtafute maana nahitaji mbegu za mahindi kwa ajili ya kupanda maana tayari nimeshatayarishashamba langu linasubiri tone la kwanza la mvua nipande. Msaada - kina Malila, Kanyagio na wengineo kama mmeshapata kujua walipo TANSEED tujuze pleaaaase!
   
 13. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #13
  Jun 5, 2014
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,680
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Wakuu.
  Ni mbegu ya aina gani ya mahindi nzuri inafaa kupanda ukanda wa kasikazini
   
Loading...