Kilimo kwanza.

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,635
4,519
Sisi.....

africa-farmers-danchung.jpg


Wenzetu.....

IMG_0843.228160640_std.JPG


Lini tutawafikia nasi tujitosheleze kwa chakula?
 
MilkProtest600.jpg


Hapo ng`ombe mmoja tu anakupa lita 100 za maziwa kwa siku,sisi tunashindwa nini kuzalisha breed kama hizi tuondokane na utapiamlo?
 
East_African_Cattle_with_herdboy.jpg


Kwa hali hii lini tutawafikia?Na nini kifanyike angalau basi kama hatuwezi kuwafikia japo tuwakaribie?
 
Kwa sasa bado tuna ardhi ya kuchezea ndomana tunabweteka na kuendekeza uzembe lakini kwa kasi hii mpya ya kuzaana pamoja na 'imaigrants' wanaoingia kwa fujo kutoka nchi jirani wala hatutahitaji mwalimu wala fedha za kigeni, wenyewe tutaingia huko... na si zaidi ya miaka 10
 
Back
Top Bottom