Kilimo kwanza vs Tanzania ya Viwanda

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Kipi bora kwa watanzania wengi? 70%

Asilimia 70 ni wakulima, je wakiwezesha ndio watakuwa na purchasing power pia demand ya industrial products

Kipi kianze? Industrialization au Agricultural revolution

Kipi kianze, kati ya Kilimo au Viwanda?

Importance of agricultural sector in a country’s economic development

Maoni yangu: Wazo la Tanzania ya Viwanda, naunga Mkono Rais Magufuli

Nashauri, Viende Sambamba...Budget ya Kilimo iongezwe..

Wakulima wapate elimu na pembejeo kwa bei nafuu (Subsidize)

Serikali ifungue mipaka watu wauze nje, wakulima wapate pesa

Wakulima wakipata pesa, Purchasing power itaongezeka na watanunua bidhaa za viwandani.
 
Back
Top Bottom