Kilimo Kwanza na Suma JKT | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilimo Kwanza na Suma JKT

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lambardi, Dec 22, 2010.

 1. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2010
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Nimepita pale lango la Lugalo...kukuta yard kubwa sana ya matrekta....yameegeshwa kusubiri wadau wa kilimo kwanza....nikaona vema niingie nisikilizee labda masharti yako vipi nami nishawishike....kuingia kilimo kwanza maana miaka kama 5 hivi miliwahi enda mfuko pembejeo....kuulizia nafanyaje nipate trekta....nilioyaona nayafananisha na nilioyakuta pale lango la lugalo........sasa miezi karibia 3 sidhani kama wamnetoa au kuuza hata trekata 3 pale.....sasa kama kuna mawakala kama 20hivi kama wao.....hawaoni hasara ???au lengo kukomoaa....unanunua trekta unaweka linaozea yard.....tatizo nini??sera...?masharti au kilimo siasa???sio utendajii?????

  Naomba tujadilii na ufafanuiziii.....maana nafikiria kama watu wangekuwa na 6m unapewa trekata ukalimishe au kulimaa......baada 5yrs _10yrs utamaliza tuuuu....hapo faida isiwe kigezooo kwa miaka 10mwanzoo......
   
Loading...