KILIMO KWANZA kikitekelezwa........

Leornado

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,529
196
Tanzania bado kuna sehemu watoto wanatumikishwa mda wa masomo au baada.
Enzi zetu kipindi kile ni tofauti na sasa wajameni...

IMG_2986.jpg
 
dah!! nimwkumbuka mbali sana........miaka yetu ile unakuwa na hivi alivyo navyo dogo..then fagio... mzigo wa nyasi... kuni za mwalimu wa zamu.....halafu na rambo ya madaftari....
 
dah!! nimwkumbuka mbali sana........miaka yetu ile unakuwa na hivi alivyo navyo dogo..then fagio... mzigo wa nyasi... kuni za mwalimu wa zamu.....halafu na rambo ya madaftari....

Umesahau na fimbo ya kuchapia wahalifu. Tulikuwa tunatumwa fimbo ya mchongoma na mianzi iliokaushwa vizuri...
Ila kwa karne hii mie napinga watoto kufanyishwa mambo 1947?
 
Umesahau na fimbo ya kuchapia wahalifu. Tulikuwa tunatumwa fimbo ya mchongoma na mianzi iliokaushwa vizuri...
Ila kwa karne hii mie napinga watoto kufanyishwa mambo 1947?

Pamoja na mamizigo yote ukifika kwa mwalimu inabidi umtawadhe mwanae aliejisadia. umsaidie kuosha vyombo, umfulie na nguo....yaani taabu tupu

Na ukigoma anakubambika kesi ya kuchapa uchi na mwalimu mkuu siku chache zijazo
 
Back
Top Bottom