Kilimo kwa njia ya mtandao

Jatu wanalima mahindi kiteto, mpunga kilombero, maharage kilindi, machungwa handeni, na sasa wanajiandaa kuanzisha kilimo cha parachichi Njombe
Aiseee,ni watu wa ukweli au ni utapeli tuu,km deci?
 
Good mkuu usidanganyike na deal chap chap piga kazi afu fanya kitu unacho weza wewe binafsi kukagua na kuona nini kina fanyika nani vizuri anaye kupa mchongo awe anafanya tayari ila biashara za mezani hizi mtu ana kuambia weka 2m baada ya hapo tuna zungusha hivi au tunafanya hivi mwezi unao fwata unapata faida 1m zaidi kaa mbali sana mkuu.
Nimekuelewa murua kabisa boss wangu
 
😂😂😂😂 kunamambo huwa yananichekesha sana. Yaan niwatumie pesa wanilimie shamba na kunitafutia soko mm nikuchukua faida tu. Hapa ndipo napata picha ni rahisi kiasi gani wakoloni walivyojichukulia Mali zetu. Km mpk enzi hizi kunamambo ya magumashi hv na bado watu wanaingia 18 hebu waza hiyo miaka ya 1899 huko ilkuaje
 
Y

Yaani huku mitaani mambo ni mengi,na yote ni utapeli,anza na deci,forever living,longrich,mr kuku nk
 
JATU
Wakuu salam, kuna mtu kanisimulia kuhusu kampuni inayofanya kilimo kwenye mtandao.kwamba unatuma hela wao wanalima na kushughulikia mazao,yakiwa tayari wanauza unapewa hela yako,je ni kweli? Au ni jamii ya akina DECI ?

Naomba mwenye ufahamu zaidi anijulishe.Jamaa aliyeniambia anaanza kushawishika kujiunga nao,mimi napata mashaka na hii kitu.

Karibuni wakuu.
 
Aiseee,ni watu wa ukweli au ni utapeli tuu,km deci?
How wanaitwa JATU PLC..... wanajulikana kila secta ya serikali inayojihusisha na masuala kilimo, kama ni mfuatiliaji hata kwenye maonesho ya nane nane walikuwa na banda kule bariadi, hapa dar walikuwa kongamano ubungo plaza lililowahusisha wizara ya kilimo na mgeni rasmi alikuwa katibu mkuu wa wizara ya kilimo.
 
Kujulikana huko hakutoshi kunifanya niwaamini kuwa siyo wapigaji.. nasema hivii. Hakuna kilimo hapa tanzania ambacho wewe utatoa hela ili mwingine alime, apalilie, avune, auze halafu akupe faida.
Hayupo wa hivyo.
 
Ndo strategies zao kutumia Taasisi za Serikali kujisafisha
How wanaitwa JATU PLC..... wanajulikana kila secta ya serikali inayojihusisha na masuala kilimo, kama ni mfuatiliaji hata kwenye maonesho ya nane nane walikuwa na banda kule bariadi, hapa dar walikuwa kongamano ubungo plaza lililowahusisha wizara ya kilimo na mgeni rasmi alikuwa katibu mkuu wa wizara ya kilimo.
 
Kujulikana huko hakutoshi kunifanya niwaamini kuwa siyo wapigaji.. nasema hivii. Hakuna kilimo hapa tanzania ambacho wewe utatoa hela ili mwingine alime, apalilie, avune, auze halafu akupe faida.
Hayupo wa hivyo.
Kweli mkuu
 
Back
Top Bottom