Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,472
Wewe kweli ni Mkulima
Huyo jamaa analeta story za kukopeshana sijui nini
Mkuu naomba uzoefu wako katika kilimo cha hoho
Hoho December zina bei nzuri.
Wewe kweli ni Mkulima
Huyo jamaa analeta story za kukopeshana sijui nini
Mkuu naomba uzoefu wako katika kilimo cha hoho
Mimi nilipenda kulima vitunguu kule Dodoma. Gharama zake ni chini ya milioni mbili kwa ekari moja. Maji yapo ya uhakika. Jirani yangu analima pia na ameniambia ni uhakika. Na tayari nimeshajifunza online, pia nilienda kule mwanga kuwauliza wakulima kuhusu changamoto.Ila mpaka sasa hivi nipo njiapandaHoho December zina bei nzuri
Mimi nilipenda kulima vitunguu kule Dodoma. Gharama zake ni chini ya milioni mbili kwa ekari moja. Maji yapo ya uhakika. Jirani yangu analima pia na ameniambia ni uhakika. Na tayari nimeshajifunza online, pia nilienda kule mwanga kuwauliza wakulima kuhusu changamoto.Ila mpaka sasa hivi nipo njiapanda.
Mimi nilipenda kulima vitunguu kule Dodoma. Gharama zake ni chini ya milioni mbili kwa ekari moja. Maji yapo ya uhakika. Jirani yangu analima pia na ameniambia ni uhakika. Na tayari nimeshajifunza online, pia nilienda kule mwanga kuwauliza wakulima kuhusu changamoto.Ila mpaka sasa hivi nipo njiapanda
Mkuu kumbuka mimi ID yangu ilikuwa inasomeka "maskini wa jf" .... Nimebadilisha jina tuu baada ya kupata kamtaji ka milioni moja(joking)..
Hapo namaanisha nina kiasi kidogo cha fedha na kitu unachojaribu kuniambia yani sina idea kabisa.. Alafu mtaji unahitajika wa kutosha..
... Kabla sijasahau ... Kuhusu izo hoho zinalimwa maeneo ya wapi? Na inaweza kuni-cost shilingi ngapi kwa ekari moja?
Mkuu sasaivi nipo moshi biashara ya genge sio kama uko ulipo...Haki tuna safari ndefu sana.y usiweze..duh..mchaga gan ww unaona aibu kuifata pesa!haya all the best
Mkuu sasaivi nipo moshi biashara ya genge sio kama uko ulipo...
Genge si unamaanisha kibanda cha kuuza vitu vitu..
Sawa mkuuHuu ushauri mzuri aufuate aachane na kilimo ni gharama halafu hakitabiriki masoko yake asije lia hapa
Ni ukweli nduguKila kilimo kinalipa cha msingi ni kujipanga tu.
Tangawizi ipo sana Kigoma Wilaya ya Buhigwe sehemu inaitwa Munzenze. Hazina soko tangu zikatazwe kwenda nje na wateja walikuwa ni Waganda so wabongo wamebakia kuwalalia wakulima tu kwa kg 1 =300-700 ila wanganda walikuwa wananunua kg 1000-1600Hapo kwenye tangawizi... inalimwa maeneo gani? Gharama zake je? Vipi kuhusu soko?
Mpunga mwaka huu nmelima heka 40 nmepata gunia 14 hapa nnavoandika niko na stress balaa nmelala tu pesa yote ilimwagika huko IFAKARARaha ya mpunga ni kwamba unaweza ukauweka ndani mpaka soko litakapokaa viziri ndipo uuuze, ila changamoto zake sasa ndo tatizo.
Pole sana mkuu. Dawa pekee ni kukusanya mtaji, unasubiri msimu wa mavuno ufike kisha unanunua mzigo wako tena unaoutaka, unaweka ghalani, kisha unasubiri soko likae vizuri usukume mzigo wako. Kulima mwenyewe ni stress tosha aisee.Mpunga mwaka huu nmelima heka 40 nmepata gunia 14 hapa nnavoandika niko na stress balaa nmelala tu pesa yote ilimwagika huko IFAKARA
Tatizo inakuwa ni mtaji ila kama utaweza kupata mtaji kwenye kilimo na ukaanza kununua nafaka kama mahindi utapiga hela na stress hazitakuwepo kabisaNunua nafaka hautakuwa na stress za kilimo