Kilimo gani kina asilimia kubwa ya kufanikiwa?

Hoho December zina bei nzuri
Mimi nilipenda kulima vitunguu kule Dodoma. Gharama zake ni chini ya milioni mbili kwa ekari moja. Maji yapo ya uhakika. Jirani yangu analima pia na ameniambia ni uhakika. Na tayari nimeshajifunza online, pia nilienda kule mwanga kuwauliza wakulima kuhusu changamoto.Ila mpaka sasa hivi nipo njiapanda
 
Mimi nilipenda kulima vitunguu kule Dodoma. Gharama zake ni chini ya milioni mbili kwa ekari moja. Maji yapo ya uhakika. Jirani yangu analima pia na ameniambia ni uhakika. Na tayari nimeshajifunza online, pia nilienda kule mwanga kuwauliza wakulima kuhusu changamoto.Ila mpaka sasa hivi nipo njiapanda.

Kakae huko fanya kazi za shamba hata kama hulipwi, uangalie changamoto zao zote na masoko! Hoho hazina gharama
 
Mimi nilipenda kulima vitunguu kule Dodoma. Gharama zake ni chini ya milioni mbili kwa ekari moja. Maji yapo ya uhakika. Jirani yangu analima pia na ameniambia ni uhakika. Na tayari nimeshajifunza online, pia nilienda kule mwanga kuwauliza wakulima kuhusu changamoto.Ila mpaka sasa hivi nipo njiapanda

Ningekuwa mimi wewe ningetafuta mwenzangu mmoja mtafute masoko ya nje, walau Rwanda au Sudan. Fikiria kwa picha kubwa kidogo. Achana na presha za shamba, hubby aliwah lima na mtaalam mmoja hivi wakashea heka 5 kitunguu kilitoka kikubwa sana. Sokoni vikasumbua balaa mavtunguu yakitoka makubwa sana yanasumbua sana sokoni
 
Mkuu kumbuka mimi ID yangu ilikuwa inasomeka "maskini wa jf" .... Nimebadilisha jina tuu baada ya kupata kamtaji ka milioni moja(joking)..

Hapo namaanisha nina kiasi kidogo cha fedha na kitu unachojaribu kuniambia yani sina idea kabisa.. Alafu mtaji unahitajika wa kutosha..

... Kabla sijasahau ... Kuhusu izo hoho zinalimwa maeneo ya wapi? Na inaweza kuni-cost shilingi ngapi kwa ekari moja?


ohh nakukumbuka...bwana naomba nikishauri kama ndugu yang wa damu..! taffuta eneo sokoni hapo ulipo nenda kahama kachukue mchele uza! au chukua karanga/maharage kwa wingi kias uza ndugu yangu! maana najua huna idea yyt ..! mm nilianza kilimo nnilikua nna idea zaidi ya 99% coz dingilai kasomea kilimo na anapractice kilimo had leo hii...sijui ni zao gan hom hatujawah lima kianzia njegerr hoho nyanya ki5unguu kabeji na makolombwezo yanayokubali sehem za baridi!

ionee huruma hyo 1m ndugu yangu..!unawezA wekaza 1m ukaja uza hoho zako ukapata 400k!masoko hayatabiriki kbs..leo mwenzako atauza kiroba kwa 60 kwesho kitadrop mbaya!achana na kulima mtaji wako mduchu!

pita na sample ya mchele (mfano umeamua kuuza mchele)zunguka nayo maofisini upak kilo 1,2,5! kuna ile mifuko ya nailon..kopesha na uza kwa reja reja!

La mwisho kbs bora ufungue GENGE LENYE KILA KITU
 
Hapo kwenye tangawizi... inalimwa maeneo gani? Gharama zake je? Vipi kuhusu soko?
Tangawizi ipo sana Kigoma Wilaya ya Buhigwe sehemu inaitwa Munzenze. Hazina soko tangu zikatazwe kwenda nje na wateja walikuwa ni Waganda so wabongo wamebakia kuwalalia wakulima tu kwa kg 1 =300-700 ila wanganda walikuwa wananunua kg 1000-1600

Tangawizi zinakomaa ndani ya miezi 6-8 ukizihudumia vizuri. Japo kilomo cha jembe la mkono na kutegemea mvua hakijawahi kumtoa mkulima tangu dunia imeumbwa.
 
Mpunga mwaka huu nmelima heka 40 nmepata gunia 14 hapa nnavoandika niko na stress balaa nmelala tu pesa yote ilimwagika huko IFAKARA
Pole sana mkuu. Dawa pekee ni kukusanya mtaji, unasubiri msimu wa mavuno ufike kisha unanunua mzigo wako tena unaoutaka, unaweka ghalani, kisha unasubiri soko likae vizuri usukume mzigo wako. Kulima mwenyewe ni stress tosha aisee.
 
Back
Top Bottom