Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

Nimekuwepo lindi- Liwale huko wanapata debe 24- 36 kwa heka pia huku songwe maeneo ya mkwajuni napo kipato kipo hivyo pia ukienda maeneo ya bonde la ziwa rukwa napo wengi huwa kipato kina range kwenye debe 18-36

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenifanya nivutike kulima mwaka huu, maana watu walisema Ni Gunia mbili mwisho taku kwa Ekari Moja. Sasa kwa uzoefu wako unaniambia kuwa Ni Gunia Hadi Sita. Siyo mbaya kikubwa spacing. Msitari na mmea Hadi mmea. Huduma za mbolea pia,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini,
Mwenye kuhitaji Ufuta kununua kiasi chochote kuanzia tani na kuendelea unapatikana.

Na kama unahitaji mtu wa kufanya naye kazi ya kununua ufuta unaweza kuwasiliana na Mimi. Maana msimu wa ufuta umekaribia sana na Vyama vya ushirika vitaanza kukusanya ufuta tarehe 23/05/2020.

Mawasiliano
liobitemuhidini@gmail.com
Location: Liwale-Lindi



Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamani nimeskia juu juuu, serikali ina mpango wa kuingilia zao la ufuta mwaka huu.

yani akili inavurugika nikikumbuka walichokipata wakulima wa korosho dah!

mwenye #update za korosho mkoani amwagee jamvini hapa.!
 
Back
Top Bottom