Wakuu naomba jibu la swali hili tafadhali.Msimu wa mwaka huu bei ya ufuta ilikuwa kiasi gani /kg?
Wakuu naomba jibu la swali hili tafadhali
Kuna jamaa yango ana shamba maeneo ya Msoro, Bungu km 15km kutoka barabara ya lami. Huko ufuta, nanasi, mihogo, nyanya, mapapai vinalimwa sana. Ardhi ina rutuba nzuriWakuu, bado sijapata ushauri wenu juu maelezo yangu hapo juu ingawa naona kuna watu wameusoma. Au sijaeleweka?
Ilianza 2000 1 kg ikashuka hadi 1500, mwaka huu bei ilikua chini sana,ila mwaka huu nazan itakua juu kwani wakulima wengi wamekata tamaa na bei ya ufuta,hivyo wengi watabadilisha mazao
Hbr za Leo wakuu. Nimeingia jukwaa hili kwa Mara ya kwanza baada ya kuamua kujiongeza kutokana na Sera za huyu Bwa. Mkubwa JPM maana kakaba kila kona.
Kifupi nataka kuanza kilimo cha kibiashara na nina pori langu yangu ambalo halijawahi kulimwa kwa muda mrefu pale mkoa wa pwani maeneo ya Bungu kama unaelekea kibiti. Nataka kulima aidha mbaazi au ufuta. Swali je, ardhi ya eneo hili inafaa kwa kilimo hiki cha kibiashara? Ni mambo gani ya msingi ya kuzingatia ili kupata faida ( zoezi zima la ulimaji na masoko). Haya jamani natanguliza shukrani zangu dhati kwenu wataalamu na wazoefu wa enei hili.
Kaka naomba mchanganuo kidogo wa kulima ufuta na mbaazi,sana sana changamoto na faida yake kwa ujumlaNami naingia kwa mara ya kwanza. Eneo la Bungu linafaa sana kwa mazao yote mawili. Ushauri mwingine wa awali ni kwamba ufuta unafanya vizuri sana kwenye ardhi yenye rutuba ya kutosha au kwa kuongezewa rutuba kwa kutumia mbolea za viwandania au mbolea nyinginezo kama samadi n.k. Tahadhari kwenye kilimo cha ufuta: mwanzoni unavyoanza kukua inabidi uwe makini sana kwani kuna wadudu "vibaruti/flea beetle" huwa wanashambulia sana mara unavyoota.
Tukirudi kwenye kilimo cha mbaazi, mbaazi ni zao ambalo ni rahisi sana kulima ukilinganisha na mazao mengine: linafanya vizuri kwenye ardhi yeyote mradi isiwe inatwamisha maji, matumizi ya mbolea sio sana kwa sababu lenyewe linarurtubisha udongo, halishambuliwa na magonjwa sana, huvumilia sana ukame, masoko kwa sasa yapo, n.k. Mimi ni mjasiriamali wa kilimo kwa ujumla wake. Ukihitaji mbegu/ushauri wa mazao mbalimbali yakiwemo hayo tuwasiliane (kwa sasa mawasiliano ni Whatsapp namba +602442496 au email: ackundya@hotmail.com). Nakutakia kila la heri.
Pia masoko yake ni ya uhakika?Nami naingia kwa mara ya kwanza. Eneo la Bungu linafaa sana kwa mazao yote mawili. Ushauri mwingine wa awali ni kwamba ufuta unafanya vizuri sana kwenye ardhi yenye rutuba ya kutosha au kwa kuongezewa rutuba kwa kutumia mbolea za viwandania au mbolea nyinginezo kama samadi n.k. Tahadhari kwenye kilimo cha ufuta: mwanzoni unavyoanza kukua inabidi uwe makini sana kwani kuna wadudu "vibaruti/flea beetle" huwa wanashambulia sana mara unavyoota.
Tukirudi kwenye kilimo cha mbaazi, mbaazi ni zao ambalo ni rahisi sana kulima ukilinganisha na mazao mengine: linafanya vizuri kwenye ardhi yeyote mradi isiwe inatwamisha maji, matumizi ya mbolea sio sana kwa sababu lenyewe linarurtubisha udongo, halishambuliwa na magonjwa sana, huvumilia sana ukame, masoko kwa sasa yapo, n.k. Mimi ni mjasiriamali wa kilimo kwa ujumla wake. Ukihitaji mbegu/ushauri wa mazao mbalimbali yakiwemo hayo tuwasiliane (kwa sasa mawasiliano ni Whatsapp namba +602442496 au email: ackundya@hotmail.com). Nakutakia kila la heri.
Masoko ni ya uhakikaPia masoko yake ni ya uhakika?
Bwana kilimo mimi nimelima mbaazi heka 10 , naweza kupata soko wapi?Masoko ni ya uhakika