Kilimo cha zao la Tangawizi - Masoko, Mbinu na Ushauri toka kwa wadau | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilimo cha zao la Tangawizi - Masoko, Mbinu na Ushauri toka kwa wadau

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Jaguar, Aug 21, 2012.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Heshima kwenu wakuu.

  Ninaambiwa na watu kwamba kilimo cha tangawizi kinalipa sana kwa sababu soko la uhakika lipo na ni zuri.

  Nimeshaelekezwa sehemu ambayo hili zao linakubali uzuri.

  Ombi langu ni kwa wale wenye uzoefu na kilimo hiki wanipe A,B,C...zote kuhusu kilimo cha zao hili.

  Ningependa kujua kuhusu gharama ninazoweza kukumbana nazo mpaka zao hili lifikie hatua ya kuvunwa toka shambani,thanks in advance.

  ========== Majibu kutoka kwa wadau ===========


   
 2. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,590
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Mtafute Le Mutuz, nimeona wamefungua kiwanda cha tangawizi...
   
 3. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #3
  Aug 21, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,989
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  Hata mimi nahitaji hiyo kitu mzee
   
 4. Ndoa

  Ndoa JF-Expert Member

  #4
  Aug 21, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ana Kilango ndio mtaalam
   
 5. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Akhsanteni@ze marcopolo & ndoa.
   
 6. ZENITH

  ZENITH JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2013
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 732
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 60
  Nataka kulima tangawizi mkoani Mbeya hususani Tunduma.

  Swali kwa wataalamu;je hali ya mkoani mbeya inakubaliana na zao hili?

  Kuna jamaa kanambia kuwa zao hili linahitaji misimu miwili ya mvua kwa mwaka kwasababu tangawizi huchukua miezi nane hadi kumi kufikia hatua ya kuvunwa.

  Nina hofu kama kweli mkoani mbeya mvua za vuli ni za uhakika.
  Naombeni ushauri wenu wataalamu.
   
 7. geniveros

  geniveros JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2014
  Joined: Apr 29, 2014
  Messages: 23,380
  Likes Received: 20,140
  Trophy Points: 280
  Asante nimeliona jani lake.
   
 8. a

  armi Senior Member

  #8
  Aug 24, 2014
  Joined: Aug 11, 2014
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shukrani ndugu

  .made in mby city.
   
 9. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #9
  Aug 24, 2014
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,935
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  thanks .... nimeotesha miche kama 6 kwa majaribio
   
 10. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2014
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Je ni wapi soko la tangawizi linapatikana kwa wingi? je kg 1 inakwenda kwa bei gani? wapi tangawizi soko lake la uhakika? Muhimi please coz nimesikia kuwa kuna viwanda vinanua Tangawizi, ningependa pia kujua bei zao kiwanda wanazonunulia.
   
 11. S

  Shakir JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2014
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 635
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Yeah,
  Ngoja werevu wa hii issue waje.
   
 12. D

  Duly zura JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2014
  Joined: Jan 6, 2013
  Messages: 431
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Gagu naona umevamia na huku hhhahaha siuongee na Malkia tu atakua na madetails yakutosha
   
 13. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2014
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  huku walipotuleta sio kabisa
   
 14. Hornet

  Hornet JF-Expert Member

  #14
  Dec 11, 2014
  Joined: Apr 29, 2013
  Messages: 10,513
  Likes Received: 3,878
  Trophy Points: 280
  habari wandugu,natafuta mbegu ya tangawizi, nahitaji kupanda mwenye nayo au pia msaada wa maeneo zinapopatikana anisaidie tafadhali.
   
 15. k

  kinyangesi JF-Expert Member

  #15
  Sep 14, 2015
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 249
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Habari ndugu zangu?

  Kwanza mniwie radhi kwan kifaa changu kilizma chaji kabla sijapost. Nahitaji kupata maarifa juu ya kilimo cha tangawizi , je mbegu nzuri ni aina gan? Zinapatikana wap? Je huchukua muda gan mpaka kuvuna? Kama nikiweza kupata gharama Zake na faida. Nitafurahi pia kupata uzoefu mwingne juu ya kilimo hiki.

  Asanteni sana
   
 16. festo james

  festo james Member

  #16
  Sep 14, 2015
  Joined: Aug 30, 2015
  Messages: 26
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 5
  Good post nazani hiii itatusaidia sana hata sisi itatusaidia sana
  Kwa wenye ujuzi juu ya hili watujuze tuwekeze kupeana maarifa
   
 17. c

  chifu77 JF-Expert Member

  #17
  Mar 15, 2016
  Joined: Aug 2, 2014
  Messages: 911
  Likes Received: 516
  Trophy Points: 180
  Wenye utaalam au uzoefu juu ya kilimo cha tangawizi, tafadhali mukuje pande hii
   
 18. S

  STG Member

  #18
  Mar 16, 2016
  Joined: Feb 11, 2015
  Messages: 59
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 25
  Kwa ujumla tangawiz hustawi kwenye mwinuko kuanzia m 800 mpaka 1500 kutoka usawa wa bahari, kwa ujumla maeneo mengi inakostawi kahawa na tangawiz zinastawi.

  KUANDAA SHAMBA

  Andaa Shamba lako mapema, katua/lima kuanzia miezi ya
  April, may au June, ni vizuri ukaanzisha Shamba jipya au lilikaa bila kulimwa kwa miaka mitatu, Lainisha udongo miezi ya August au September na kuanzia November unaweza kuanza kupanda.
  .
  KUPANDA

  Tangawizi hupandwa kwa kuivunja vunja kwa kufuatisha mbingili zake. Panda tangawiz kwa cm 30 kati ya shina moja na jingine na cm 45 mpaka 60 kati ya mstari mmoja na mwingine. Tumia mbolea ya mboji au samadi na usitumie mbolea za kemikali kupandia, Kg 1000 za tangawiz hupandwa katika hekta moja na unaweza kuvuna kuanzia tani 10 mpaka 25 inategemea ukubwa wa mbegu, urutubishaji, kiasi cha maji na paliz. Huchukua wiki mbili mpaka mwezi mmoja na nusu tngwz Kuota inategemea kiasi cha maji na joto kwenye udongo, ni vizuri kuzitandaza tangawz kwenye kivuli na kufunika na gunia na kuzimwagilia ili ziote kabla hujazikataka kwa ajili ya kwenda kupanda. Palilia Mara Majani yanaoota na pandishia udongo kwenye mashina ili tangawiz itanuke vizuri.

  MAGONJWA

  Tangawiz haishambuliw sana na magonjwa ila Mara chache hushambuliwa na kuvu (fungus).

  KUVUNA

  Huchukua miez 6 mpaka 18 mpaka kukomaa inategemea mwinuko toka usawa wa bahar na mvua.
  Tangawiz haitaki maji yanayotuama kama vijaruba vya mpunga, maji yakituama kwenye shina la tangawiz kwa mda Fulani Majani ya tangawiz huwa ya njano na huanza kunyauka

  Kuvuna Tani 10 kwa hekta moja ni kadirio la chini kabisa.. Kipindi soko linapokua zuri unaweza kupata kuanzia Mil 20 mpaka 60 kwa hekta moja, kuna wahindi ambao hununua tangawiz kwa wingi sana na wanaexport, wahindi hununua kg 1 kwa sh 3000, mpaka 3500 ukiuzia shambani
  Uzuri tangawiz unaweza kusubir soko zuri na ukauza kwa bei nzuri kwani zao hili hupanda bei haraka

  Jamani tusiogope kuwekeza, na kujaribu fursa mpya, Nina imani nimeeleweka na karibuni kama kuna maswali

  Watu wengi wanashindwa kuzalisha tangawiz kwa wingi kwa kukosa mitaji ya kununulia mbegu kwani mbegu zake ni gharama, hivyo unashauriwa kununua kg chache walau kg 200 ukapanda eneo Dogo ili kuzàlisha mbegu ambazo utaweza kuzisambaza eneo kubwa, na kwa kulima eneo Dogo unaweza kupata uzoefu kupitia hapo na kujua kama eneo ulilolima ni sahihi na linafaa kwa kilimo cha tangawiz.

  Sokoni tangawiz huuzwa sh 5000 mpaka 6000 kwa kg soko linapokua zuri, pia tangawz kuna msimu hushuka bei mpaka sh 2000 kwa kg.
  Usikatishe tamaa pale tangwiz inashuka bei mpaka sh. 1500, unaweza kusubir kwa mda mfupi na kuuza tangawiz kwa bei nzuri sana kwa kua bei yake huwa hupanda kwa haraka
   
 19. cognition

  cognition JF-Expert Member

  #19
  Mar 16, 2016
  Joined: Nov 27, 2015
  Messages: 871
  Likes Received: 665
  Trophy Points: 180
  hizo mbegu kwa hekta moja hugharimu shilingi ngapi?,
   
 20. just-imagine

  just-imagine JF-Expert Member

  #20
  Mar 16, 2016
  Joined: Aug 18, 2015
  Messages: 314
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 80
  Costs za kulima na kupanda mpaka unapovuna ni sh.ngapi mkuu...maana umeweka tu bei yake sokon
   
Loading...