BABU KIDUDE
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 1,588
- 903
Naona wapo shamba bado😀😀😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nielekeze hicho kilimo cha tumbakuUngekuwa unataka kulima Tumbaku ningekusaidia
hahaha mkuu umenichekesha sanaNgoja nikapost story za michepuko, wake za watu, celebrities, utaona comments zitakavyojaa
Napenda Sanaa kilimo Cha vitunguu, ila Sina A,B,C.. za kilimo hiki.. Tafadhari mwenye uelewa na aliewahi kulima au mpk Sasa analima naomba anijuze ktk hili wadau..!!Wadau nimejaribu kufuatilia taarifa mbalimbali za kilimo cha zao tajwa hapo juu. Kwa sasa nahitaji kupata maarifa kadha wa kadha kuhusu kilimo cha zao hili. Maswali yanayogonga kichwani mwangu ni;
1. Kwa uptodate data, wapi naweza kupata mbegu kwa uraahisi
2. Mbegu kiasi gani (kilo ngapi, au gunia ngapi zinatosha kwa ekari moja
3. Mbegu hizo zinapatikana kwa bei gani kwa sasa.
Nimejaribu kufuatilia mtandaoni, lakini posts zingine ni za miaka ya nyuma ambayo inaweza isiwe realistic kwa sasa hivi 2018 TZ ya Magufuli
Karibuni wazoefu.
Dahzunguka dunia nzima huwezi pata mbegu za vitungu
Ni ainagani ya mbegu ya vitungu ambayo niya mda mfupi kama ya siku 90 naombeni ushauri na msaada juu ya hili
Bei yake kwa kilo tafadhaliMbegu ya muda mfupi siku 60 hadi 80 unavuna inaitwa Red Creole. Mavuno yake ni tani 14 hadi 20 kwa ekari
Inasambazwa na kampuni ya Seed-co 0736210909
50000Bei ya kitunguu kwa eneo la mang'ora kwa gunia ni shilingi ngapi kwa muda huu?
Asante kwa taarifa mkuu50000
25000Bei yake kwa kilo tafadhali