Sisi mabepari utatuweza lakini? Au unasema !!!!!!!

Kama unataka kwenda Ruaha Mbuyuni kwa ajili ya kitunguu nenda,ukiweza nenda Kibakwe Mpwapwa pia kuna bonde zuri sana na wanalima pia kibiashara. Nenda Mbeya vijijini kuna kitunguu cha kufa mtu au kajichanganye Karatu( Mang`ola),

Maeneo hayo bei ziko juu, kama hutajali nenda kafanye survey bonde moja huko Kipatimu, watu wanalima vitunguu pia,huko bei ya ardhi inaweza kuwa karibu na bure.

Shime nenda shambani leo usingoje kesho.

Mkuu huko Kipatimu ni wapi haswa?
 
Sisi mabepari utatuweza lakini? Au unasema!

Kama unataka kwenda Ruaha Mbuyuni kwa ajili ya kitunguu nenda,ukiweza nenda Kibakwe Mpwapwa pia kuna bonde zuri sana na wanalima pia kibiashara. Nenda Mbeya vijijini kuna kitunguu cha kufa mtu au kajichanganye Karatu( Mang`ola),

Maeneo hayo bei ziko juu,kama hutajali nenda kafanye survey bonde moja huko Kipatimu, watu wanalima vitunguu pia, huko bei ya ardhi inaweza kuwa karibu na bure.

Shime nenda shambani leo usingoje kesho.

Pia unaweza kujaribu Nar (Bashnet) Wilaya ya Babati au Bashay kwa Mh. Marmo
 
Kipatimu ipo wilaya ya Kilwa,ukitoka Dsm kwenda Lindi,unaweza kuingilia Somanga au Njia Nne na ukiwa usafiri wako unaweza toka Dsm asubuhi na jioni uko Dsm bila taabu.

Mkuu huko ni kuzuri zaidi maana ni karibu na DSM ngoja nifanye mipango angalau niweze kufika huko.
 
Check mwega/malolo-kilosa district kuna skimu ya umwagiliaji kule kitunguu inakubali saaana.mpaka mwezi wa nane 2010. Kitunguu gunia moja likiwa kijijini mwega 120,000-150,000.

Hayo ni moja ya maeneo yangu ya kazi
Mkuu nikitaka kufika huko nafikaje Kilosa npafahamu na nimeshawahi kufika ila huiko mwega/malolo ndio sipajui nipe direction mkuu
 
ni km ngapi kutoka bandari iliyo salama mpaka kipatimo,labda tunaweza tia miguu mafuta tukaja wekeza

Nakadiria kama km 300 as maxmum,kwa sababu Dsm mpaka Somanga ni km 220, kisha unaingia kulia. Ngoja nimuulize dogo mmoja anipe uhakika kwa kupitia Kinjumbi ni km ngapi toka Somanga.
 
Nashukuru sana kwa taarifa kama hii. Ekari moja wanakodisha au wanauza kwa bei gani?

Gharama za kulima, kutunza shamba la ekari moja hadi kuvuna ni sh. ngapi? Ekari moja inatoa gunia ngapi?
Naweza kupata eneo zuri lenye maji yasiyokauka nilime kilimo cha umwagiliaji kwa mashine ya kuvta maji?

Contacts zangu ni: 0767 919923, 0784 593005, 0716 889705, richkety@yahoo.co.uk
 
Check mwega/malolo-kilosa district kuna skimu ya umwagiliaji kule kitunguu inakubali saaana.mpaka mwezi wa nane 2010. Kitunguu gunia moja likiwa kijijini mwega 120,000-150,000
hayo ni moja ya maeneo yangu ya kazi

Nashukuru sana kwa taarifa kama hii. Ekari moja wanakodisha au wanauza kwa bei gani?

Gharama za kulima, kutunza shamba la ekari moja hadi kuvuna ni sh. ngapi? Ekari moja inatoa gunia ngapi?

Naweza kupata eneo zuri lenye maji yasiyokauka nilime kilimo cha umwagiliaji kwa mashine ya kuvta maji?

Contacts zangu ni: 0767 919923, 0784 593005, 0716 889705, richkety@yahoo.co.uk
 
Nashukuru sana kwa taarifa kama hii.
Ekari moja wanakodisha au wanauza kwa bei gani?
Gharama za kulima, kutunza shamba la ekari moja hadi kuvuna ni sh. ngapi?
Ekari moja inatoa gunia ngapi?
Naweza kupata eneo zuri lenye maji yasiyokauka nilime kilimo cha umwagiliaji kwa mashine ya kuvta maji?
Contacts zangu ni: 0767 919923, 0784 593005, 0716 889705, richkety@yahoo.co.uk
Mkuu kuna eneo lina maji mengi sana yasiyo kauka na kijito kizuri, unaweza kulima kilimo cha umwagiliaji. Eneo hili lipo km 75 toka Dsm njia ya Mkuranga. Udongo ni mzuri na barabara ipo. Eneo hilo linafaa pia kwa mifugo mbalimbali.
 
Wakuu, baada ya tukio la ajali kesi yangu ilipangiwa wilayani Kilosa; na hivyo nililazimika kusafiri hadi mjini Kilosa, naweza kusema safari yangu ya Kilosa was a blessing in disguise.

Njiani nimekutana na mabonde mengi sana na mambwawa kedede yaliyojaa maji mapaka sasa pia ardhi nzuri kwa kilimo cha nyanaya na vitunguu na hasa katika vijiji vya Kilangali na Lyamuhaa (Kama sijakosea jina). Natafuta wasaa wa kwenda tena Kilosa na kama kuna mdau analifahau vizuri eneo hilo atujuze zaidi.
 
Wakuu ; baada ya tukio la ajali kesi yangu ilipangiwa wilayani Kilosa; na hivyo nililazimika kusafiri hadi mjini Kilosa, naweza kusema safari yangu ya Kilosa was a blessing in disguise, njiani nimekutana na mabonde mengi sana na mambwawa kedede yaliyojaa maji mapaka sasa pia ardhi nzuri kwa kilimo cha nyanaya na vitunguu na hasa katika vijiji vya Kilangali na Lyamuhaa (Kama sijakosea jina). Natafuta wasaa wa kwenda tena Kilosa na kama kuna mdau analifahau vizuri eneo hilo atujuze zaidi.

Kwanza pole kwa ajali mkuu,

Nilibanwa hadi nikasahau kuuliza habari za afya yako tangu siku ile. Kuna jamaa yangu ana makazi huko Kilosa,nitajaribu kumchimba ili asaidie ni maeneo gani sugu kwa mafuriko, ugomvi kt ya wafugaji na wakulima, na yepi yamechukuliwa na wakubwa.

Akinipa jibu nitakupasha ili usiingie matatizoni. Ila safari ya Iringa ilikuwa na matunda kwangu na wenzangu.
 
Kwanza pole kwa ajali mkuu,

Nilibanwa hadi nikasahau kuuliza habari za afya yako tangu siku ile. Kuna jamaa yangu ana makazi huko Kilosa,nitajaribu kumchimba ili asaidie ni maeneo gani sugu kwa mafuriko, ugomvi kt ya wafugaji na wakulima, na yepi yamechukuliwa na wakubwa. Akinipa jibu nitakupasha ili usiingie matatizoni. Ila safari ya Iringa ilikuwa na matunda kwangu na wenzangu.

Asante!

Nasikitika kuwa ajali ilinizuia nisijiunge nanyi huko Iringa; Mungu atatupatia wasaa mwingine tena! Namalizia kujipanga ili nirudi mstari wa mbele.
 
Asante!

Nasikitika kuwa ajali ilinizuia nisijiunge nanyi huko Iringa; Mungu atatupatia wasaa mwingine tena! Namalizia kujipanga ili nirudi mstari wa mbele

Natarajia desember tuwe na trip mbili za Iringa, ya mwisho itakuwa baada ya x-mass hivi,naamini hii utashiriki mkuu. Nitakuwa na vijana wa jf baadhi.
 
Wakuu nilikuwa na-review hii thread, nikaona jinsi wazee mlivyomwaga nondo. sasa kwa wanaofahamu vizuri kilimo cha vitunguu. Je, vitunguu vinakubali ardhi ya mkuranga na Bagamoyo? hasa ukichukulia case ambapo kuna mto usiokauka, au vinalimwa sehemu zenye ubaridi kama Iringa?- au kikubwa ni maji ya kumwagilia. nitashukuru kwa taarifa!!
 
Wadau,

Napenda kufanya kilimo cha vitunguu ila sina data za kutosha kuhusu hili swala. Nimesikia kuna sehemu inaitwa mang`ola wanalima ila sijawahi fika,sehemu nyingine ni Iringa ila sasa nashindwa kujua ni wapi kati ya sehemu hizo mbili nimzuri na cheap.

Then: ingependa kujua mashamba yanakodishwa shiling ngapi? Mbegu kwa heka ni sh ngapi? Gharama ya kulima pamoja na kuweka matuta? Kupanda? Mtu wakulinda shamba ni sh ngapi?na vitu vingine ambavyo sivijuwi.

Wadau haya yote yametokana na hali mbaya ya wategemeawo mwisho wa mwezi.naombeni mawazo yenu wadau.

Naomba kuwakilisha hoja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom