Kilimo cha Viazi Mviringo (Viazi Ulaya) na Masoko Yake

Za mda huu wadau wa GT.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nahitaji kujua na kujifunza kuhusu kilimo husuka. Kanzia kukodi shamba hadi kuvuna gharama zake zikoje.

Eneo ninalotaka ni Mkoa wa Mbeya au Iringa.

Mwanza
 
tzhello,
Unabidi uwe na misuli kweli, yani ni ngumu kweli hasa kama kuna kamlima kidogo.İla kwa kuwa huna mtaji komaa, ukipata mtaji utanunua pambu ya mafuta.
 
Kwanza unachagua shamba zuri lisilo na bakteria, uliza historia ya shamba.

Angalia majani yalivyoshamili au mazao yaliopo yapoje.chunguza chanzo cha maji kilipo, hakikisha maji ni ya uhakika na ya siwe ya kugombania utakula hasara.

Mbegu bora ni kala na tigo na obama ipo mbegu nyingine nyeupe ipo kama tigo ni nzuri ina zaa sana na ina wahi kukomaa.heka moja unaihitaji gunia nane.

Mbolea dap npk na can, pandia dap mfuko mmoja na nusu au miwili.can mifuko 2 na mpaka 1,weka kabla ya palizi ya pili mwagilia wiki ya kwanza kisha acha vipumue siku hata tano, rudia tena mzunguko wa kumwagia na kupumua.vikichomoza, wiki ya pili anza kutifulia, vikianza kutoa watoto chini weka mbolea can na npk wiki ya 3 mpaka ya 5, mbolea weka upande wa juu usiweke mteremkoni. Kama utawahi mwezi 5 piga dawa za ukungu na mbolea za majani busta wiki ya 1 na 2.

Baadae piga npk na utamalizia vigmax wiki tatu kabla havijakomaa kutegemea aina ya viazi usiwahi vitaoza. Kama utapanda wa sita huna haja ya dawa za ukungu. Zingatia maji ukiweza weka sprinkta tatu au mbili. Kama maji mengi tumia mpira wa nchi moja hutajuta. Usitumie wasimamizi watakudanganya na utavuna mabua.

Kazi njema karibu kwa maswali zaidi.
 
Ameandika: Tangantika

Mbolea dap npk na can, pandia dap mfuko mmoja na nusu au miwili.can mifuko 2 na mpaka 1,weka kabla ya palizi ya pili mwagilia wiki ya kwanza kisha acha vipumue siku hata tano, rudia tena mzunguko wa kumwagia na kupumua.vikichomoza, wiki ya pili anza kutifulia, vikianza kutoa watoto chini weka mbolea can na npk wiki ya 3 mpaka ya 5.mbolea weka upande wa juu usiweke mteremkoni.kama utawahi mwz 5 piga dawa za ukungu na mbolea za majani busta wiki ya 1 na 2.

Baadae piga npk na utamalizia vigmax wiki tatu kabla havijakomaa kutegemea aina ya viazi usiwah vitaoza.kama utapanda wa sita huna haja ya dawa za ukungu.zingatia maji ukiweza weka sprinkta tatu au mbili.kama maji mengi tumia mpira wa nchi moja hutajuta.Usitumie wasimamizi watakudanganya na utavuna mabua.kazi njema karibu kwa maswali zaidi.
 
Nashukuru sana kwa elimu nzuri. Kuna mwingine apo kwenye mbolea kanambia DAP mifuko 3 na can 3 kwa ekari moja otherwise thax once again ntakuchek nikikwamaa sehem
 
Nimesomea uganda eneo linaitwa bukinda in kabare district. Hii sehemu wanalima sana viazi ulaya. Sisi pia kama wanafunzi wa seminary tulikuwa tukilima hivyo viazi. Yani kwa kule viazi vinalimwa bila mbolea wala dawa yoyote na mavuno nimakubwa ile mbaya. Leo nimepitia humu jamvini nimeshangaa kuona kuwa et sikuizi viazi vinalimwa na Urea sijui CAN, sijui dawa ya ukungu. Mara wadudu?
Swali langu ni kwamba hivi hii arth ya TZ inatatizo gani?
Tatizo halipo kwenye ardhi ila tu ni sisi wenyewe na tamaa zetu kutaka mavuno mengi zaidi kumbe zaidi ndo tunapoteza rutuba ya ardhi yetu
 
Kwanza unachagua shamba zuri lisilo na bakteria, uliza historia ya shamba.

Angalia majani yalivyoshamili au mazao yaliopo yapoje.chunguza chanzo cha maji kilipo, hakikisha maji ni ya uhakika na ya siwe ya kugombania utakula hasara.

Mbegu bora ni kala na tigo na obama ipo mbegu nyingine nyeupe ipo kama tigo ni nzuri ina zaa sana na ina wahi kukomaa.heka moja unaihitaji gunia nane.

Mbolea dap npk na can, pandia dap mfuko mmoja na nusu au miwili.can mifuko 2 na mpaka 1,weka kabla ya palizi ya pili mwagilia wiki ya kwanza kisha acha vipumue siku hata tano, rudia tena mzunguko wa kumwagia na kupumua.vikichomoza, wiki ya pili anza kutifulia, vikianza kutoa watoto chini weka mbolea can na npk wiki ya 3 mpaka ya 5, mbolea weka upande wa juu usiweke mteremkoni. Kama utawahi mwezi 5 piga dawa za ukungu na mbolea za majani busta wiki ya 1 na 2.

Baadae piga npk na utamalizia vigmax wiki tatu kabla havijakomaa kutegemea aina ya viazi usiwahi vitaoza. Kama utapanda wa sita huna haja ya dawa za ukungu. Zingatia maji ukiweza weka sprinkta tatu au mbili. Kama maji mengi tumia mpira wa nchi moja hutajuta. Usitumie wasimamizi watakudanganya na utavuna mabua.

Kazi njema karibu kwa maswali zaidi.
Habari mkuu Tangantika, nimevutiwa na maelezo yako kuhusu kilimo cha viazi mviringo kwa kuwa nami niko katika harakati za kutaka kuingia katika kilimo hiki.

Mkuu mimi kuna eneo nimeuliza wao wanasema ardhi yao hawatumii mbolea yoyote zaidi ya dawa za kuzuia ukungu, je mkuu hili lawezekana kweli?

Na chengine naomba kama unajua je ni miezi gani kiazi huadimika masokoni, maana wakulima ni wengi kwa hiyo mimi nataka nifanye timming ya muda ili nije vuna kipindi ambacho kuna demand nzuri sokoni.
 
Mbegu bora ni kala na tigo na obama ipo mbegu nyingine nyeupe ipo kama tigo ni nzuri ina zaa sana na ina wahi kukomaa.heka moja unaihitaji gunia nane.

Mkuu hizi mbegu zapatikana wapi, na je uzuri wake ni katika maeneo gani?

Labda ndivyo vinavyopendwa na walaji au ndivyo vyenye faida kwa mkulima kutokana na uzazi au.

Mkuu niwie radhi kwa maswali, ni katika kujaribu kupata elimu kwanza kabla ya kuliingia jambo.
 
Back
Top Bottom