Kilimo cha tunda aina ya Pesheni: Utaalam na Masoko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilimo cha tunda aina ya Pesheni: Utaalam na Masoko

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by LAT, Feb 26, 2011.

 1. L

  LAT JF-Expert Member

  #1
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  Heshima kwanza

  Wakuu, nina shamba eneo la Makaa Yamu, Kirua Vunjo, wilaya ya Moshi vijijini lenye ukubwa wa ekari kumi na sita 16 (limepimwa na hati miliki)

  Shamba lipo kilometer nne kutoka barabara kuu iendayo Dar es salaam na Mombasa.Shamba hili lipo eneo la ukanda wa tambarare Kusini mwa mlima Kilimanjaro.Ukanda wa eneo hili lilipo shamba langu ni mkubwa sana na wamiliki wengi wa mashamba haya hulima mahindi wakati wa msimu wa mvua (masika).

  Eneo hili lina rutuba nzuri sana, udongo wake ni tifutifu. Inaonyesha kuwa water table yake haipo mbali sana.

  Wakuu wazo langu ni kugeuza uwanda huu kuwa horticultural hub kwa kilimo cha aina ya zao la matunda ya passion lengo likiwa ni kuweza kusindika tunda hili la passion na kupata passion powder kwa ajili ya flavoring kwenye bidhaa mbali mbali za chakula kama ice creams, cakes, fruit yougurt, juices and soft drinks, jams n.k

  Pia tunda hili la passion linaweza kutengeneza wine mzuri sana.

  Naomba pia anayejua bidhaa tofauti zinazotokana na zao hili na masoko yanayohusu passion fruit.

  Wakuu ninaomba ushauri juu ya utaalam wa ulimaji wa zao la passion, hivyo basi nikiweze kuanzisha kilimo hicho nitatoa mfano wa shamba bora na kuwabadilisha wakulima wote wa eneo / uwanda huu waweze kulima hili zao na baadae kulisambaza maeneo ya nchi nzima ambapo zao hili products zake zina soko lenye bei nzuri na kubadilisha maisha ya wananchi hawa.

  Haya ni mawazo tu ya mwanzo ambayo sijayafanyia utafiti wa kina nikisubiri changamoto na michango ya wenzangu wapenda kilimo na wenye utaalam na uzoefu zaidi .

  Pia yeyote yule humu JF anakaribishwa kutoa ushauri na mchango wake.

  ---------------------------------
   
 2. m

  muhinda JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 337
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Habari zenu wakuu,

  mimi ni mjasiliamali ninayechipukia kwenye kilimo, naombeni kama kuna mtu mwenye utaalam au information kuhusu kilimo cha passion fruits anisaidie kuweka hapa jamvini.
  Natarajia kuanza kilimo ichi mwishoni mwa mwaka maeneo ya pwani kwani nimeona demand yake ni kubwa kiasi fulani hapa dsm.

  Mkuu LAT niliona mahali umegusia na ukaelekeza kwenye jukwaa la SACCOS ambalo sina access, tafadhali weka hapa jamvini tufaidike na wengine

  natanguliza shukran
   
 3. m

  muhinda JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 337
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Dah kumbe na wewe ulitafuta info hapa!!
  Je ulishafanikiwa?
  if yes please help
  ivi matunda haya yanaweza kulimwa ktk ukanda huu pwani?

  mwenye ujuzi atusaidie
   
 4. k

  katinila Member

  #4
  Feb 28, 2014
  Joined: Nov 26, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu naomba maelezo kuhusu kilimo cha passion yani namaanisha gharama zake kwa heka moja,masoko yake na ushauri mwingine unaolingana,je KINALIPA?
   
 5. Mu-Israeli

  Mu-Israeli JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2014
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 2,456
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Hebu angalia video hii hapa toka Kenya.

   
 6. k

  katinila Member

  #6
  Mar 4, 2014
  Joined: Nov 26, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaka asante,nimeiangalio video yote lakini sijaona kwenye masuala ya masoko,yaani naamisha bei.halafu pia hawajasema gharama za uandaaji wa shamba(miche kiasi gani inahitajika kwa heka moja na vitu vinavyolingana na pia ingependeza zaidi ningepata information za hapahapa Kwetu Tanzania.
   
 7. d

  dfocus Member

  #7
  Mar 4, 2014
  Joined: Feb 9, 2014
  Messages: 26
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
 8. k

  katinila Member

  #8
  Mar 5, 2014
  Joined: Nov 26, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaka dfocus nimeingia hiyo site crops and cultivation nimehangaika sijaona link ya passions,sa sijui nafanyaje?
   
 9. Mu-Israeli

  Mu-Israeli JF-Expert Member

  #9
  Mar 5, 2014
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 2,456
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Okay...
  Tembelea hapa:

  http://mitiki.blogspot.com/2010/02/makakara-passion-fruits.html
   
 10. k

  katinila Member

  #10
  Mar 6, 2014
  Joined: Nov 26, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaka muisrael mtoto wa yakobo asante hiyo link imekaaa sawa,asante nimepata pa kuanzia sasa.
   
 11. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #11
  Aug 16, 2015
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Msaaada kwa post hii tafadhali
   
 12. s

  stemcell JF-Expert Member

  #12
  Aug 16, 2015
  Joined: Apr 19, 2015
  Messages: 621
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 80
  Najua kenya KARI wanao miche aina mpya lakini Tanzania kuna shamba ya serikali inauzaga miche ya matunda korogwe mpigie kesho,kama hana mwambie akuelekeze. 0683 674 348 mwaipopo
   
 13. g

  govindah Member

  #13
  Nov 7, 2015
  Joined: Oct 28, 2015
  Messages: 20
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Msaada wa kitaalamu kutoka kwa wanajamii forum wenye uzoefu na kilimo cha zao hili la passion fruits.
   
 14. Ngamba

  Ngamba JF-Expert Member

  #14
  Nov 9, 2015
  Joined: Jun 6, 2013
  Messages: 680
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  unataka kulima au umelima ila umekubwa na changamoto ???
   
 15. Asante

  Asante JF-Expert Member

  #15
  Nov 9, 2015
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,960
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  The Sweet Yellow Passion –
   
 16. Ngamba

  Ngamba JF-Expert Member

  #16
  Nov 12, 2015
  Joined: Jun 6, 2013
  Messages: 680
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  however the purple is quite sweet if u compare with the yellow tofauti yellow ni kubwa kuliko purple
   
 17. Impaler

  Impaler Senior Member

  #17
  Jan 7, 2016
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 155
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Naandika hapa nikiamini kwamba kuna wataalamu na wajuvyi wa mambo mbali mbali.

  Je, Ni wapi nitapata matunda ya passion kwa bei rahisi yakiwa bado yako fresh?

  Naomba msaada.
   
 18. prince dudu

  prince dudu Member

  #18
  Jan 7, 2016
  Joined: May 24, 2015
  Messages: 68
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Vikindu
   
 19. Hornet

  Hornet JF-Expert Member

  #19
  Jan 7, 2016
  Joined: Apr 29, 2013
  Messages: 10,479
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  maeneo mengi ya mkuranga..
  pia kuna passion nyeusi za Iringa zile zinakaa zaidi ya mwezi haziozi
   
 20. jembelamkono

  jembelamkono JF-Expert Member

  #20
  Jan 7, 2016
  Joined: Nov 19, 2015
  Messages: 1,992
  Likes Received: 1,103
  Trophy Points: 280
  Makali hayo!!!kuliko maji ya betri..
   
Loading...