Kilimo cha pilipili mtama (Black pepper) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilimo cha pilipili mtama (Black pepper)

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by M-pesa, Nov 22, 2011.

 1. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  mwenye kujua hali ya hewa inayoruhusu hili zao kustawi na kuzaa kwa wingi tafadhali anijulishe. Na ni sehemu gani Tanzania hili zao linastawishwa kwa wingi?
  Asanteni
   
 2. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
 3. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
 4. M

  Malila JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,413
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Pili pili hiyo inamea na kuzaa sana milima ya Matombo huko Mvomero. tatizo barabara ya kwenda hapo mlimani, ni mbaya sana siku mvua ikinyesha.
   
 5. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135

  Jumuiya ya Wakulima wa Kilimo Hai Usambara Mashariki (JUWAKIHUMA) ni chama kinachounganisha vijiji sita vilivyopo milimani Usambara Mashariki wilaya ya Handeni, mkoani Tanga.

  Wakulima wa maeneo haya wanalima sana mazao ya viungo vya chakula hasa pilipili mtama, iliki na karafuu. Karafuu inayolimwa eneo hili ubora wake ni mkubwa kuliko karafuu inayolimwa Pemba na Unguja. Pia eneo hili yapo mashamba makubwa ya serikali ya miti ya mipira, iliyokuwa inatumika kama malighafi kwa kiwanda cha matairi cha General Tyre, Arusha.

  Pilipili mtama ndilo zao la kwanza nchini lenye bei nzuri kwenye soko la ndani, bei yake kwa sasa ni kati ya shilingi 400,000/= hadi 600,000/= kwa gunia la kilo 100, sokoni Kariakoo.

  Serikali ya Marekani kupitia shirika lake la misaada la USAID limewasaidia sana wakulima wa vijiji hivi sita, kuendeleza mazao yao, kiasi kwamba hali ya maisha ya wakulima imebadilika sana, na kila eneo utakalopita utakuta wakulima wanapanua mashamba na vitalu vya miche mbalimbali vikiwa mashambani, vikisubiri msimu wa kupanda.


  https://lh3.googleusercontent.com/-f5DbakWscH8/Sq-VJDcPeII/AAAAAAAAO2E/_CMOVEuT4gI/s800/P1020187.JPG


  https://lh6.googleusercontent.com/-RwmEeWtO59c/Sq-VMfTJ5oI/AAAAAAAAO2Q/CdZHm0UYOW0/s800/P1060002.JPG


  https://lh6.googleusercontent.com/-I_huoY_M6Vk/Sq-VKarFQuI/AAAAAAAAO2I/cr4l1zb9pww/s800/P1020195.JPG
   
 6. J

  Jonathan Kiula JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  thank you very much indeed Mr. Majimoto for your awesome contribution
   
 7. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hiyo milima bora ibadilishwe jina!!!
   
 8. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #8
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160

  Ni lazima ujue asili yake.........neno matombo linamaanisha matiti ya mwanamke na huko mahala kuna mwamba mkubwa sana unaofanana na mwili wa mwanamke ukiwa na matiti yake...ndio asili ya jina
   
 9. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #9
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  asante sana mkuu maji moto kwa ufafanuzi.
   
 10. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #10
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Mrdash1 umenichekesha sana..............umenikumbusha mara ya kwanza kulisikia jina hili likitamkwa na watu wazima nilipata wakati mgumu kidogo.

  Tukirudi kwenye maada ni maeneo managapi nchini zao hili linaweza kustawishwa?
   
Loading...