duu aisee mimi ninazo izo pilipili ila sijajua pakuzipeleka
Mkuu naomba msaada wa elimu. Nina shamba maeneo ya kisarawe nataka kulima Pilipili mbuzi. Naomba kujua yafuatayo:-Mzigo huo wadau nishalima
Matikiti bado yapo? Please write me back
Mkuu kulima ni hatua ya kwanza, hatua ya pili ni soko. Tafuta soko wiki 4 kabla ya kuvuna. Mm nipo dar pale buguruni kuna soko zuri sana la matikiti maji. Ningekusaidia kufanya mipango ukauza vizuri tu. Usikate tamaa. Chukulia kama ni funzo kwa jaribu ulilopata.Mkuu niliishia kuyauza kwa bei ya kutupa na mengi yaliharibika nikawapa mbuzi. Mkuu mm kwangu kilimo kimeniachia maumivu yasiyoisha. Mpaka najiuliza kweli Adam na Hawa walipelekwa bustanini? Mbona sisi wa shambani ndio tunaumia sana wakati watu wa maofisini wanaishi vizuri?
Sawa mkuuMkuu kulima ni hatua ya kwanza, hatua ya pili ni soko. Tafuta soko wiki 4 kabla ya kuvuna. Mm nipo dar pale buguruni kuna soko zuri sana la matikiti maji. Ningekusaidia kufanya mipango ukauza vizuri tu. Usikate tamaa. Chukulia kama ni funzo kwa jaribu ulilopata.
Sio kweli, hizo ni mbili tofauti hata ladha ni tofautiutofauti wake ni kwenye kukomaa...zikianza kukomaa zinaanza kuwa njano mpaka kua nyekundu...zikiwa green zinakua bado hazijakomaa....hope umenisoma...
Mimi ninayo shambani mkuu nitafutie mteja bado kama wiki mbili niyatoeMatikiti bado yapo? Please write me back
Soko la mboga mboga hutafutwa au huanishwa 3months before decision being made. Vinginevyo ni majanga[/QUOTmseminati Mimi ndio nimemaliza kusafisha Shamba nataka kupata description demand ya mteja Wa hoho ili toka mwanzo nianze kwa kufocus kumit demand yake, nina mabanda mawili ya greenhouse yenye uwezo Wa kuchukua miche 600 kila moja
Kilo shs ngapi. Njoo inbox km VPMm nna pilipili manga please nisaidieni soko
Mkuu bado unalima hoho had sa hv?Nalim kupitia greenhouse nalima hoho njano na nyekund nitafut kwa nmba hii 0628016757 nitakuelekez soko lipo usiogop