Duuuuu utafute soko bila kuanza kulima utaonekana hauko serious, nadhani mtoa mada yako correctJust being curious..... Unalima kisha unatafuta Soko au unatafuta Soko ukipata ndio Unalima..... Naomba kujuzwa maana napata wasiwasi ikitokea Soko likakosekana na mazao yamekoma itakuwaje hapo.
Mleta Mada nahisi ulikosea kitu sehemu fulani wakati wa maandalixi ya huu mradi wa kilimo Cha mbogamboga.